Vicin
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 676
- 295
Ni hivi. Nimemaliza diploma ya law, nilipoomba nikaweka bba yatatu na ndio nimepata udsm pekee. Swali ni kwamba naweza nikaomba mzumbe au udom llb?Duuuuh!! ww ni wa ajabu sana kwa hiyo ulitaka uchaguliwe vyuo vingi?
Ku-apply tena ni pesa yako kama una pesa ya kuchezea fanya utakavyo ila fahamu kuwa kuna wwnzako wanalia wamekosa nafasi awamu ya kwanza na hiyo awamu ya pili hawajui pesa wanaitoa wapi