University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

Duuuuh!! ww ni wa ajabu sana kwa hiyo ulitaka uchaguliwe vyuo vingi?

Ku-apply tena ni pesa yako kama una pesa ya kuchezea fanya utakavyo ila fahamu kuwa kuna wwnzako wanalia wamekosa nafasi awamu ya kwanza na hiyo awamu ya pili hawajui pesa wanaitoa wapi
Ni hivi. Nimemaliza diploma ya law, nilipoomba nikaweka bba yatatu na ndio nimepata udsm pekee. Swali ni kwamba naweza nikaomba mzumbe au udom llb?
 
Ona mfumo huu ulivyoshindwa, nafasi zaidi ya 4000 wamechaguliwa zaidi ya chuo kimoja. Maana yake hawa wamezuia zaidi ya nafasi za waombaji 4000
Wengi hawalioni hili na matokeo yake ni kupandisha cut off point na kumwaga vijana wenye ufaulu mzuri. TCU wasipofanya tathmini ya zoezi la mwaka huu tutaendelea hivi hivi na vijana kukosa nafasi. Kwa sasa karibu 33000 wametemwa. TCU ituambie jumla ni wangapi wana multiple selections na wengine ni zaidi ya mbili.
 
MKUU naomba unisaidie pdf ya wale without multiple admission
Kwa wale mlikuw mkisubiri majina ya selection chuo kuu dodoma yametoka.. Fanya kupitia hpa uangalie kama yamekaa saw au laah..hzo doc mbil kuna moja kwa wale wenye single selection na ya pili kwa wale weny multiple selection wanaoitajika ku confirm kama wataenda chuoni (UDOM)[/QUOTE
 
Msaada wakuu nmepata Div. Two pts 11 PCB nna ECC respectively.. First round vyuo vyote nlivyoomba wamenikataa..Ushauri tafadhali wa course na chuo cha ku apply for this second round application.
 
TUMAINI UNIVERSITY YA DSM BADO TU?
25x25xnew2.png.pagespeed.ic.AgtcRuBLd2.webp
First Batch Selected Degree 2017/2018
06 Oct, 2017
Selected Applicants with Multiple Admissions
06 Oct, 2017
Applicants Not Selected 2017/2018
 
Ambao awajapa chuo mpka mpk sasa na waliomba watarubia batch nyingine au ndo wamekosa total kwa mfano mtu aliomba vyuo vitatu udm udom na mzu then kweny haya majina ayapo
 
Hellow udom wale wa second round washaruhusiwa mbona mm nashindwa hata kuedit msaada please
 
Back
Top Bottom