University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

Msaada jaman: Nimechaguliwa Mechanical Engineering UDSM na Telecommunication Engineering-UDOM nichukue ipi kulingana na soko la hizo koz mbili?
 
Kuna namb za cm zimetolew kwa ajil ya confirmation.. Inatakiw achukue namb mojawap ktk tangazo atume ujumbe mfupi ukiw na jina kamili, F 4 index no, na degree program aliochaguliw
Hizo namba za confirmation zipo wapi???????
 
Kwa wale mlikuw mkisubiri majina ya selection chuo kuu dodoma yametoka.. Fanya kupitia hpa uangalie kama yamekaa saw au laah..hzo doc mbil kuna moja kwa wale wenye single selection na ya pili kwa wale weny multiple selection wanaoitajika ku confirm kama wataenda chuoni (UDOM)
Jamani mwenye selection za mzumbe na udsm msaada please
 
Hizo namba za confirmation zipo wapi???????
IMG-20171006-WA0000.jpg
hizo hpo kweny pic hyo chek
 
Wadau naomba mwenye uelewa anisaidie. Nimechaguliwa chuo kimoja tuu, naweza nikaomba chuo kingine saivi?
 
Back
Top Bottom