University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

Hapo kusubiri second round tu,bila shaka chance ya kupata ni kubwa wengi watakuwa wamesha confirm hivyo wataachia nafasi
Kuna mtu kaliwa kichwa bila shaka maana dashboard ipo kimya tu hakuna feedback yoyote au kimya na chenyewe ni feedback
 
USHAURI TAFADHARI
Kozi ipi bora kati ya
1 BS IN EDUCATION
2 B BISNESS WITH EDUCATION
3 BS IN BIOLOGY
 
Hv Kama umechaligulwa chuo kimoja ( single admission) nawewe unatakiwa ucomfirm au kufanya kitu chochote kuonyesha utajiunga na chuo husika,na je naweza kuomba vyuo vingine duru la 2??
 
Back
Top Bottom