University Admission Results 2020

Ndo ujumbe wa SUA?
Nd niliuona morning ila baada ya mna niliingia kwa account yangu nikakuta iko fresh.. Labda ilikuwa mtandao tu maana hata jana website ya SUA ilikuwa haifunguki
Jisajili upya au wasiliana nao! Ndio walichomaanisha, inaonekana haukuingizwa kwenye system..
Sasa naona imerudi katika hali take ya kawaida
 
Apo basi frsh
Hvyo kjna,, itakuwa mtandao tu..
Hebu nikuulize kitu.. Hv kama MTU anafahamu Username ya account yako ila password hajui anaweza kurequest password na akadistabo account husika..?
 
Maana huna mshikaji wangu alikuwa anajua username na password yangu ila nilibadilisha password faster.. So nawazia hilo maana watu hawa hawaaminiki..

Ni ngumu sababu ukiwa una request utaombwa kueka email account uliyotengenezea hiyo application acc yako au namba za simu kwa verification..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…