University Admission Results 2020

Hivi wadau wa jf, kama umepata chuo kimoja kuna taratibu zingine za kuthibitisha au ndio umethibitishwa moja kwa moja? Mfano waliochaguliwa DUCE.
 
Jaman naomba mtu ambaye amaconfirm bugando na ameshapata admission letter. Anisaidie kipengele Cha ada na michango sh ngapi
 
Jaman naomba mtu ambaye amaconfirm bugando na ameshapata admission letter. Anisaidie kipengele Cha ada na michango sh ngapi
Hii hapa.
Kwa details zaidi download fee structure yao kwa muhula wa 2020/2021.
Iko katika website yao.
 
nisaidieni mawazo ndugu zangu. Jana baada ya kupata AVN yangu nikaaply St Fransic M.D. na GPA ya 4.0 sasa kila kitu kiko sawa ila dashboard haionesh chochote ya haina andishi lolote hata la kusema numenikiwa kutuma maombi. Je tatizo ni nini wakuu au ndo kukataliwa kwenyewe?
 
wapigie technical support wao watakusaidia nlkutana na issues kama hii nlisaidiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…