umeshapata AVN?Aiseeh, sasa nawaza Sie tuliojiandaa kuomba hii second round itakuwaje
Muda bado Mkuu,mkuu mbona wengne huku hakuna info yoyte au ndo tumetemwa? i mean SUA
Nikweli bado vyuo havijatoa majina.Mmmh mi kila Mahal n Naona tu your Application submitted sioni majibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyuo vingine bado mkuuMmmh mi kila Mahal n Naona tu your Application submitted sioni majibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo nimeomba mda si mrefu..?umeshapata AVN?
Mkuu ..nipe process za kuangalia SUASUA Napo tayari, ndo km hivyo
Hatari tupuNdugu zangu wa MUHAS mpoView attachment 1588262

Vipi udsm Kuna update yyteNdugu zangu wa MUHAS mpo😂View attachment 1588262
Duh 😂 kama unasikiaga kuchanganyikiwa ndo hapa sasaNdugu zangu wa MUHAS mpo😂View attachment 1588262
Tunaomba na cc wa chuo cha kata UDOM mkuuNdugu zangu wa MUHAS mpo😂View attachment 1588262
UDSM na UDOM ndio vyuo vinavyopokea maombi mengi sana hapa Tanzania, wao bado wapo kwenye uchambuzi.Vipi udsm Kuna update yyte
Angalia MD walivyochinjwa watu hapo. MUHAS competition kubwa, almost 90% za one PCB wanatamani kusoma hapo.Duh 😂 kama unasikiaga kuchanganyikiwa ndo hapa sasa
Kazi ipo, mi juzi kwnye account yangu udsm kulikuwa wananipa maelekeo km nataka kureapply nifanyaje, lakin jion yake ile option ikatoweka, sasa sijui niaje hapoUDSM na UDOM ndio vyuo vinavyopokea maombi mengi sana hapa Tanzania, wao bado wapo kwenye uchambuzi.
Haa NIT imetokea kama ivyoKazi ipo, mi juzi kwnye account yangu udsm kulikuwa wananipa maelekeo km nataka kureapply nifanyaje, lakin jion yake ile option ikatoweka, sasa sijui niaje hapo
Embu ingia tena NIT kwa account yako uchekiWakuu habari,
Baadhi ya vyuo vimeanza kutoa matokeo kwa waliochaguliwa kujiunga na vyuo hivyo. Mfano chuo cha NIT na CBE sijajua kwa vyuo vingine hivyo login katika website chuo kwanzia leo mpaka tar 9 vyuo vyote vitakua tayari.
View attachment 1587212View attachment 1587213