Enzi hizo ustar uliondoka na wengi sana lilipokuja swala la UKIMWI maana ni ugojwa ambao ulikuwa bado hajujatiliwa mkazo, ile kukubalika na wadada au wababa wengi baada ya kuupata umaarufu, wasanii wetu welishindwa kabisa kutulia ikawa ni kuvua chupi hovyo.John Mjema alipogundua anao akajiua kwa kujichoma kisu moyoni laiti angepata ushauri mzuri akatafuna njugu tungekuwa naye sasa hivi. Jini Kabula yule tall naye alitakaga kujiua ila kanselling ikamsaidia akaanza dozi sasa hivi huwezi kumtambua pisii kali ataondoka na wengi.
King Kong III
INASIKITISHA SANAEnzi hizo ustar uliondoka na wengi sana lilipokuja swala la UKIMWI maana ni ugojwa ambao ulikuwa bado hajujatiliwa mkazo, ile kukubalika na wadada au wababa wengi baada ya kuupata umaarufu, wasanii wetu welishindwa kabisa kutulia ikawa ni kuvua chupi hovyo.
UKIMWI ulichukua wengi mno, na hata sasa mastar wengi wanao kwa kushindwa kwao kuuhimili umaarufu wanaoupata ukubwani.
Hili goma mpaka leo huwa silichoki kabisa.Enika Roy
Hardmad dada Ake Fatma wameimba tamalaa
Bonge la gomaHili goma mpaka leo huwa silichoki kabisa.
ClassicHili goma mpaka leo huwa silichoki kabisa.
October 2004 ndipo njugu zilianza kutolewa rasmi Tanzania ikiwa na watu 440,000 wenye maambukizi ya AIDSNjugu bongo zilianza 2006 kuja juu. Kilikua ni kipindi kigumu sana kuwapa wananchi elimu juu ya faida ya matumizi ya njugu. Kwa madiba walianza mapema 2004 ila kule watu miili ilikua inavimbavimba hadi wakuda wakaibua uzushi ooooh njugu zinaotesha maziwa mwanaume. Kiufupi tupige nyeto pale unapoona umezidiwa ili kuepuka ngono zembe.
MdundikoHuo ugonjwa ndo ugonjwa gani pneumonia halafu umeweka ngoma kwenye mabano unamaanisha ukimwi au ngoma gani..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Fatma pia aliimba unapenda nin..! na JaffarahSio kweli Enika ni Roy Hardmad ni Fatma wa Alif kwa Ujiti mzee...!
Ndo huyo mkuuHuyu Joan Kataraiya siku hizi ndo DED??
Mmoja ni DED dada mtu aliolewa na tajiri mmoja mtoto wa mjini hapa ila mwamba kafariki hivi karibun.Dada yake akiitwa Joelina,walikuwa wazuri.2019 nilimuona OUT akifanya mtihani Fulani kama kafumbaa vile.
Aisha madindaWalishindwa kutumia dawa au vipi..
Nasikia banza stone pia..Bila kusahau akina Lilian internet..
Kama anatumia karanga maambukizi kwenda kwa mtu mwingine huwa yanapunguaJohn Mjema alipogundua anao akajiua kwa kujichoma kisu moyoni laiti angepata ushauri mzuri akatafuna njugu tungekuwa naye sasa hivi. Jini Kabula yule tall naye alitakaga kujiua ila kanselling ikamsaidia akaanza dozi sasa hivi huwezi kumtambua pisii kali ataondoka na wengi.
King Kong III
Umejuaje kama anatumia dawa wewe ni doctor wake?Tanzania in helthcare industry there is no confidentialityMr. Nice naye kakomaa na dozi mda mrefu.
Mbaazi zinasaidia mno. Kuna jamaa yangu kaaza kula tangu 2005, na mapaka sasa hivi anadunda vizuri kabisa. Huo mwaka 2005 kabla ya kuanza kutumia alikuwa karibia aondoke.October 2004 ndipo njugu zilianza kutolewa rasmi Tanzania ikiwa na watu 440,000 wenye maambukizi ya AIDS
Du kuna demu mmoja nilitoka naye Kariakoo kuja Makumbusho, tall tall hivi yuko yuko na mtoto wakike kama wa miaka 7-8, mkali kweli kweli. Dala dala zilikuwa shida na yeye alikuwa amepata siti ya kukaa na huyo mtoto, akaniita, na kumpakata ili mimi nikae. Sikuwa kwenye mazingira ya kuweza kumsemesha lakini mpaka sasa hivi bado namkumbuka. Atakuwa anaishi hayo hayo maeneo unayoishi.Mimi mtoto wa makumbusho karibu na makumbusho shule ya msingi usawa wa Bahari Motors ya mzee wa Sera ya ubwabwa uchaguzi mkuu uliopita😆 . Mwananyamala kwa Kopa, Victoria, Kijitonyama yoote ndo maeneo niliyokulia mkuu.
Mzee baba ulifeli wapi hata number hukuomba?😆Du kuna demu mmoja nilitoka naye Kariakoo kuja Makumbusho, tall tall hivi yuko yuko na mtoto wakike kama wa miaka 7-8, mkali kweli kweli. Dala dala zilikuwa shida na yeye alikuwa amepata siti ya kukaa na huyo mtoto, akaniita, na kumpakata ili mimi nikae. Sikuwa kwenye mazingira ya kuweza kumsemesha lakini mpaka sasa hivi bado namkumbuka. Atakuwa anaishi hayo hayo maeneo unayoishi.
Haitwi zuwena yule, anaitwa Zainab LipangileZay B mkuu, mpinzani wake mkuu Sister P
Huyo DED ni ndugu yao tu,wale wawili yey siyo mmoja waoMmoja ni DED dada mtu aliolewa na tajiri mmoja mtoto wa mjini hapa ila mwamba kafariki hivi karibun.
Sister P maskani yake si m/nyamala kwa kopa. Nasikia analea siku hizi