Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,391
- 39,484
Nimepata computer mpya kwa ajili ya KLHN na kama nilivyodokeza zimekuja na Vista.. lakini Vista sucks! Sasa nataka niitoe na kuweka XP... mnasemaje? kuna adjustment kubwa nahitaji kufanya au naweza kuziua..?