Uninstalling Vista!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
Nimepata computer mpya kwa ajili ya KLHN na kama nilivyodokeza zimekuja na Vista.. lakini Vista sucks! Sasa nataka niitoe na kuweka XP... mnasemaje? kuna adjustment kubwa nahitaji kufanya au naweza kuziua..?
 
Hi Mwanakijiji

Vista Ni Nzuri Na Software Karibu Zote Sasa Hivi Zina Support Windows Vista Bila Shida Yoyote Ile .

Lakini Kabla Hujafanya Maamuzi Hayo Tafadhali Angalia Kama Utapata Driver Muhimu Kwa Ajili Ya Hiyo Model Yako Ambazo Zitasupport Windows Xp Kama Sound , Graphics And Network Pamoja Na Chipset

Au Jaribu Kuwasiliana Na Duka Ambalo Umenunua Kama Wanaweza Kukutafutia Driver Hizo Kama Katika Tovuti Ya Computer Husika

Jioni Njema
 
..most useful,seconded!
 
Nimepata computer mpya kwa ajili ya KLHN na kama nilivyodokeza zimekuja na Vista.. lakini Vista sucks! Sasa nataka niitoe na kuweka XP... mnasemaje? kuna adjustment kubwa nahitaji kufanya au naweza kuziua..?

Mkuu, kwanini huipendi Vista?

Sasa kabla hujaanza hii shughuli inabidi ufanye backup katika HDD ambayo pia unataka kuinstall XP hivyo uwe na CD original za XP kabisa tena kwa kila computer.

Anyway, itabidi ufanye installation ingine ya XP na HDD yako itakuwa na sehemu mbili yaani ya Vista na ya XP.

Hii nadhani unafahamu inaitwa Pertition na kwa vile computer zako zimekuja mpya na Vista basi karibu sehemu kubwa 100% ya C: drive imechukuliwa na Vista.
 
Ningefanya alichopendekeza Richard .

  • Fanya full backup ya Vista.
Only Windows Vista Business and Ultimate have the full image backup features. The rest do still have a backup but it will only take care of documents and not the programs or operating system. All is not lost however. Many companies such as HP have a one time image back that you can use.

(HP only)
To use the HP One time image backup simply click the Windows start button and browse to the "PC Help and Tools" folder. Then select "Recovery Disc". This will create a full backup of your computer including programs. Keep the discs in a safe spot and read on for further info.

  • Baadae ufanye dual/multi-boot Vista with XP kwa ku-install XP pembeni ya Vista.
Hebu tizama google hapa.

Nimewahi kufanya complete backup ya laptop kwa kutumia HP backup utility kwenda kwenye DVDs 3. Ila nilipojaribu ku-restore nilishindwa; process ilianza vizuri ila baadae ikaonyesha error fulani kwamba sitaweza kufanya restoration kwenye hiyo laptop which was wierd.

Remove Vista only if you must, na uzingatie alichosema shy kuhusu drivers.

.
 
Nimepata computer mpya kwa ajili ya KLHN na kama nilivyodokeza zimekuja na Vista.. lakini Vista sucks! Sasa nataka niitoe na kuweka XP... mnasemaje? kuna adjustment kubwa nahitaji kufanya au naweza kuziua..?

Nigga u ryt!... Vista sucks.
I use XP and Ubuntu.

what to do?
backup driver zako. mara nying zikuuepo c:/swsetup. au tumia software kufanya backup! bila kusahau mafile yako.

then format the complicated user interface vista!.... XP is the best!.
 
This is not true.

Vista is newer than XP and has more secure, full of functions and having good interfaces. Vista is much more better than XP it has inherited so many issues from UNIX and hence being an operating system with unbeatable security. apart of accommodating anti-virus it has windows defender and has issues which do not permit installation of anything before confirmation.

The issue which I see here is people do not like it because it demands them to read some of the new features and icon layout, once you know how to use it is best.

Second. There is no point you can have XP and Vista on the same computer as longer as you have installed vista. mechanism is you have to start lower operating system before the higher.

REMOVE VISTA ONLY WHEN NECESSARY. and drivers found in c:\ they are likely to be for vista and not XP, check with the manufacturer or supplier or else ask for the drivers CD coming with the computer.

Cheers
 
Second. There is no point you can have XP and Vista on the same computer as longer as you have installed vista. mechanism is you have to start lower operating system before the higher.

Not entirely true.

.
 
tatizo la Vista ni nini? mimi natumia Vista kitambo sijapata tatizo lolote......XP kwa sasa naiona kama imepitwa na wakati
 
Not entirely true.

.

is it ? let us not go into details but go dipper and find out. you can have dual boot of both XP and VIsta but installation procedure is you have to start XP then Vista.

As I know dual boots OSś are using the same initialization files except locations where the root directories are located and when you want to have dual OS you actually not boot from the CD but from the existing OS.

Lazy dog i doughty your competence in this industry.
 
I agree with almost everything you said earlier pgsoft2008, but I differ with you a bit kwenye hiyo text nyekundu.

Kwenye post number 5 niliweka link inayoelekeza kwenye google.
Huko kuna maelezo,
"How to dual boot Vista and XP (with Vista installed first)"
"Dual Boot Vista and XP with Vista already installed"

One of my friend has tried that and succeeded.

.
 
is it ? let us not go into details but go dipper and find out. you can have dual boot of both XP and VIsta but installation procedure is you have to start XP then Vista.

As I know dual boots OSś are using the same initialization files except locations where the root directories are located and when you want to have dual OS you actually not boot from the CD but from the existing OS.

Lazy dog i doughty your competence in this industry.

What is this about? Do you want us to throw a question at you to attest your competence?! C'mon man, tafadhali sana ndugu jaribu kuheshimu wenzako nawe utaheshimika.
 
security in vista??? no windows OS has been that secured......
there a lot of vulnerabilities in windows for crackers to use against... so wait till meet like "xxx-cracker"...

XP has been the gr8 release of windows!....

the vista user interface could be good,colorful but very complex!.....

XP is good.......
 
Back
Top Bottom