unimplemented slogans | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

unimplemented slogans

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KUNANI PALE TGA, Oct 17, 2009.

 1. KUNANI PALE TGA

  KUNANI PALE TGA Senior Member

  #1
  Oct 17, 2009
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wakuu habari za weekendi?mimi leo nataka tu discuss hizi slogans za wakuu wetu ambazo mimi naona hazina maana kabisa.eg...ari mpya nguvu mpya na kasi mpya... hebu tuangalie hii slogan na implementation yake mpaka sasa...na najiuliza next year wata kuja na ipi?au itakuwa hivi..2010 slogan itakuwa " prado kwa kila mwananchi....." . au ,pia tuangalie slogan ile ya maisha bora kwa kila mtanzania..... je hii imetekelzwa kwa asilimia ngapi...?
  napia tujikumbushe slogan za viongozi waliopita na implementation zao...
  hebu vichwa tuzi discuss kwa undani.
  na ambaye atakuja na slogan ya 2010..humu ndani..zawadi yake ipo tu.
  asanteni.
   
 2. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  2010-2015 tunatakiwa turudi kwenye basics. Nchi haiwezi kuendelea kama vitu basics ni shida. Mfano, Umeme ufikie angalau asilimia 80 ya wananchi. Kwa sasa ni 12 tu! Barabara, mawasiliano ya bei nafuu kwa ujumla. Bandari, TRL...zote za kuhakikisha ziko fiti.
  Hivyo slogan yangu ingekuwa "to do the basics first"...sina translation yake
   
Loading...