Unguja kwetu

Ila Kiongozi magari ya shamba siku hizi hawaweki vibao sasa picha hiyo ulipiga piga vipi?

Umeniangusha sana wewe tunakutegemea kwa picha sasa hapo inakuwa bado hujafika Unguja, siku nyingine chukua simu ya ukweli upate picha za kumbukumbu utujazie hapa ili tupate kuburudika
 
Chukwani!

Kiongozi umefika hadi makazi mapya ya sasa?

Unasemaje kwanza mabangalow yalivyoporomoshwa?

Maana Chukwani vinaporomoshwa vifuu vya ajabu na vya ukweli

Kuna majengo mapya kibao naambiwa kuna chuo cha kodi nk nk
 
Ni mara yako ya kwanza kufika Unguja?

Na je sehemu nyingine zipi ulizotembelea?

Hapana Unguja nimeenda sana tangu 2001 karibia kila mwaka nimeenda si chini ya mara nne, na nimeenda sehemu nyingi ikiwa ni pamoja na kisiwa cha Kobe! Kwa raju je unapafahamu?
 
Hapana Unguja nimeenda sana tangu 2001 karibia kila mwaka nimeenda si chini ya mara nne, na nimeenda sehemu nyingi ikiwa ni pamoja na kisiwa cha Kobe! Kwa raju je unapafahamu?
Kwa raju sipafahamu. Hebu mwaga data hapo kwa raju ni mgahawa au? pengine ni sehemu ninayoifahamu tatizo jina ndio geni.

Nilifikiri ni mara yako ya kwanza, kumbe huwa unenda mara kwa mara.

Mbweni napo ushawahi kufika? Na kwenyewe kuna majengo mapya kibao.

Na je sehemu nyingine zipi ulizotembelea kwa ujumla?
 

Kwa raju iko karibu na ccm pia karibu na hotel ya executive, palikuwa maarufu mno kwa machangu na mashoga kwasasa pamekufa, mimi si bingwa wa kukariri majina mpaka nikumbuke
 
Kwa raju iko karibu na ccm pia karibu na hotel ya executive, palikuwa maarufu mno kwa machangu na mashoga kwasasa pamekufa, mimi si bingwa wa kukariri majina mpaka nikumbuke
Kiongozi sawa. Nimekupata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…