Ungepewa nafasi ya kuyaanza upya maisha yako ni jambo gani ungelibadilisha?

Kipenseli

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
800
1,050
Binafsi ningeacha kubeti na kuwekeza kiasi cha pesa katika mambo ya msingi kama ujasiriamali

Pili ningebadilisha mfumo wangu wa uzingatiaji wa afya.

Wewe Je?
 
NINGEYABADIRISHA KABISA MAISHA YANGU KWA UJUMLA NA KUANZA UPYA VEMA ZAIDI
 
Kuanza upya kuanzia wapi? Tumboni mwa mama yako, baada ya kumaliza elimu ya msingi, au wapi? Upya ni wapi?

Maana kuna mwingine alipokuwa mtoto wa miaka 6 alichachanwa usoni na paka mpaka leo ana alama na akiangalia hiyo alama anatamani asingemfinya yule paka wao. Ukimwambia anza upya atarudi pale alipokuwa anamfinya paka.
 
Hata hayo unaweza kuyabadili sahivi sio lazima utamani chance ya kurudi nyuma... Unaweza badili katikati ya safari... Hata superpower ya US ilianzia wakati ananyooshwa na UK.
 
Ningesomea kiswahili,kiingeleza,math Halafu ningekomalia maswala ya uchumi naamini ningekuwa na upeo juu ya fedha,nidham ya fedha,biashara na mambo yahusuyo fedha tu Kama forex n.k nahisi nimechelewa kuyajua haya!!
Sayansi ingebaki kama hobi ama kitu nnachokipenda sanaaaaa.

Kila somo hapo linafaida yake lkn ujue unaelekea wapi sio unatwishwa limzigo la masomo huku ukisukumwa na mibakora lukuki tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom