anayenipenda kwa sababu mtu anaweza kujifunza kumpenda mtu anaempenda hata kama mwanzoni mtu huyo alikuwa hapendwi na muhusika kuliko kuumiza kichwa na kupungua uzito ukitafakari kumpata mtu asiekupenda ila wewe kwake ndio mahaba niue.Kuoa/kuolewa na mtu anaekupenda au unaempenda ungechagua nini?
Anaekupenda au unaempenda?
Mkuu kwanini ikutafutie ban, ukweli unaumaSignature yako inanitafutia ban
ukiwa unampenda mtu hayo yote huna habari ayo unachowaza ni how you feel juu yake naamini ushapenda
lakini kusema umuache huyo mtu kwa sabbu kuna mtu anaekupenda na wewe umpendi kwa kweli ni kitendawili
ila umetoa sababu nzuri
kuna mtu unampenda jamani you will risk everything just to have him hivi waweza acha hiyo na kuwa na mtu anaekupenda ??
masai dada sku hizi maswali yako n ya utata mpaka nashindwa kukuelewa umepatwa na nn
japo yeye ndo kaninunulia lakini hata kuangalia saa haangalii kwenye simu yangu hahaha😂😂😂😂😂
Kabisaaaa!! Wengi hukimbilia kwa wale tunaowapenda ndio maana nyuzi za kutendwa humu haziishi na vilio vya mapenzi rundoooo!! Tatizo unakuta anayekupenda hana vigezo unavyovipenda hata theluthi, kwahiyo hata kujifunza kumpenda inakuwa ngumuuuuu.
japo yeye ndo kaninunulia lakini hata kuangalia saa haangalii kwenye simu yangu hahaha😂😂😂😂😂