Ki Mun
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 3,442
- 4,392
Akifanya haya hawezi kuiba na akiiba tutajua...amebuni mradi wa ndege kwa kufanya manunuzi mwenyewe tena analipa cash kwa sababu kwa mtindo huo ataweza kuiba kirahisi, Magufuli ni mwizi mzoefu waulize TANROADS!Ningependekeza fedha bilioni 600 zitumike katika hili
1. Kuboresha miundombinu ya Dar kwa kujenga barabara za mwendokasi nyingine katika sehem zenye msongamano.
. AU
2. Ningetumia fedha hizo kukopesha vijana wenye mpango mkakati wa biashara kuweza kujiajiri wenyewe.
AU
3. Ningesambaza umeme katika sehem ambazo umeme haujafika
AU
4. Ningesambaza huduma za Maji katika sehem kame
. AU
5. Ningeimarisha shule za msingi kwa kukarabati miundombinu.
Wewe unapendekeza nini?