...Ningependa zitumike kuwa elimisha wananchi...lol
...serikali yeyote nzuri huinvest in its people.....
...hatusemi kununua ndege ni kubaya,ila ukifanya hivyo huku kuna watu wanakosa mkopo wa shule,lazima tuhoji weledi wako.....simply huku ni kukosa kufanya 'prioritization'.......
...binafsi nimepewa chance ya kusoma,ningependa na watu wote kny disadvantaged group wapewe nafasi ya kusoma,
..yes,wasome,watu wote,wapate elimu,lol
..kama mmoja alivyosema uchumi wetu unategemea kilimo,so elimu yetu iwe practical kwenye mazingira yetu...sio bora elimu tu