Ungependa uzalishwe na kidume mwenye sifa zipi? LADIES ONLY

Sikuwa na haja ya kusoma post yako kwa sababu tayari heading ilikuwa ishanipiga BAN. Ningekutwa naisoma afu nikaitwa shoga ningemlaumu nani?

Ungejilaumu wewe mwenyewe afu ungeshangaa idadi ya 'wanaume" ambao wangekusalandia

Sijui ningesemaje nyumbani wallhah
 
hahahaha kalenda yako ni ya kigiriki? Asee kimeumana kule.
Hahahahah... manina mkoloni kanishika kikojoleo. Ntamsepa atake asitake. Kimeumanaje? Hebu twende mtaa wa pili kule bana.

Ungejilaumu wewe mwenyewe afu ungeshangaa idadi ya 'wanaume" ambao wangekusalandia

Sijui ningesemaje nyumbani wallhah
Hahahah........ midume ingekuwa inamendea mpododo wa ODM kwa gisani ya Rutashubanyuma. Manina wallah!
 
1-Asiwe na weak sperm maana zitaishia kufa nje kutokana na joto kali.
2-Awe na IQ ya kueleweka, hii ni kupunguza uongezekaji wa vilaza
3-Hawana maradhi ya kuridhi hasa yale ya ukichaa/kifafa na mengineyo
3-Pleaseing appearance.
 
Sikuwa na haja ya kusoma post yako kwa sababu tayari heading ilikuwa ishanipiga BAN. Ningekutwa naisoma afu nikaitwa shoga ningemlaumu nani?

Asprin usikuhukumu kitabu kwa namna hiyo............hebu nikuibie kidogo maudhui yake haya ungeliyasoma ungelijua hujabaguliwa ila msisitizo ni wadada wajitokeze kwa wingi...............................

michango ya vidume naona ni ya hisia lakini rukhsa nao walonge wanahisi ni kipi kilimfanya mwandani wake kusema IT IS HIM.......and no one else................
 
Last edited by a moderator:
1-Asiwe na weak sperm maana zitaishia kufa nje kutokana na joto kali.
2-Awe na IQ ya kueleweka, hii ni kupunguza uongezekaji wa vilaza
3-Hawana maradhi ya kuridhi hasa yale ya ukichaa/kifafa na mengineyo
3-Pleaseing appearance.

MadameX ukiondoa hiyo yenye red hizo nyingine utazipima vipi au itabidi umkokote hadi hospitalini....lol
 
Last edited by a moderator:
Trend inabadilika, chunguza.

Wanatafuta wenye hela kwa manufaa binafsi, wanachagua vipanga kuwapa ujauzito.

For Pregnancy, Men with Brain Foreve
r!

Kongosho mwenye brain ni yupi vile..................au akili za daraasani au za maisha au za ucha Mungu au zipi na utazitambuaje?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahah... manina mkoloni kanishika kikojoleo. Ntamsepa atake asitake. Kimeumanaje? Hebu twende mtaa wa pili kule bana.

Hahahah........ midume ingekuwa inamendea mpododo wa ODM kwa gisani ya Rutashubanyuma. Manina wallah!

hahahah Asprin bana...hivi wanaume wana mipododo? labda hii ni topic...ni kama Rutashubanyuma anavyotaka kutuaminisha hapa kwamba wanaume wanazalishwa....
 
Last edited by a moderator:
quote_icon.png
By Kaizer

hahahaha kalenda yako ni ya kigiriki? Asee kimeumana kule.
Hahahahah... manina mkoloni kanishika kikojoleo. Ntamsepa atake asitake. Kimeumanaje? Hebu twende mtaa wa pili kule bana.

quote_icon.png
By Kaizer
Ungejilaumu wewe mwenyewe afu ungeshangaa idadi ya 'wanaume" ambao wangekusalandia

Sijui ningesemaje nyumbani wallhah

Hahahah........ midume ingekuwa inamendea mpododo wa ODM kwa gisani ya Rutashubanyuma. Manina wallah!

hatimaye Asprin umempata wa kufifikisha utakako kwenda....................lol
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma Kusema kweli iko a bit insulting... kwa nini usiweke unapenda uzae na mwanaume wa namna gani? inakuwa kama vile unazungumzia ng'ombe..

Neiwa............tofauti ya ng'ombe na mwanadamu kwenye kuzaa na kuzalishwa iko wapi.........si mtoto anafyatuka baada ya mbegu kusimikw zinapostahili..............sioni tofauti labda unielimishe umbumbu wangu.................wengine husema yule mama tayari nimekwisha kumtotolesha kama vile alitaga mayai na sasa yametotoa.....................ni lugha na misemo ya mtaani tu.................haimaanishi anadai sasa kawa tetea...........lol
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma mimi ningeelekeza kwenye mwonekano na brains lakini tukija kwenye reality sidhani kama wanawake wengi wanapanga uzazi kwa matokeo uwa tunasukumwa tu na hisia na mapenzi yetu yameangukia kwa nani

Lemonade.....mara nyingi huwa hatutafakari maamuzi yetu tunayoyafanya lakini kuna sababu za survial of the species ambazo hutuongoza bila ya kujua yule unayempenda mara nyingi ni kwa sababu unaona wewe na uzao wako utakuw salama kwa maana ya ana uwezo wa kuwajibika na kuitunza familia yake au ana maumbile ambayo wewe unaona yana afya tele..................na hili la brain power ni nguzo ya kuishi raha mustarehe..................kwa lugha nyingine penzi huongozwa na nia ya kuona kizazi chako kinaendelea bila ya mushkeli wowote ule.................sasa swali mwenye akili utamjuaje.........................???????
 
Last edited by a moderator:
MadameX ukiondoa hiyo yenye red hizo nyingine utazipima vipi au itabidi umkokote hadi hospitalini....lol

Labda # 1 itakuwa tabu kidogo, akiwa na mtoto inaweza kunipa matumaini lakini pia sio 100% maana uwezo wa kuibiwa pia upo. # 2 na # 3 sio tabu kabisa ukifanya homework kupitia mazungumzo, elimu, kazi, maamuzi yake unaweza jua IQ yake ni design gani ama hiyo ya maradhi nitajaribu kupenda kujua habari za kwao hata kufanyia upepelezi wa aina fulani itahusika.
 
Back
Top Bottom