Ungependa uzalishwe na kidume mwenye sifa zipi? LADIES ONLY | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ungependa uzalishwe na kidume mwenye sifa zipi? LADIES ONLY

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Rutashubanyuma, Jun 9, 2012.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,552
  Trophy Points: 280
  Hivi unapotaka kuzaa na kidume au hata yule uliyezaa naye au yule ambaye ungependa kufunga naye pingu za milele au yule ambaye sasa hivi unatesa naye....lol..................sifa ipi huwa kwako ndiyo iko kwenye mstari wa mbele?

  a) Mbegu zake za kiume waziona bora kutokana na siha yake na hivyo kuashiria watoto wako watakuwa kama yeye?


  b) Anafanana na wewe na kwa vile hujiona kwenye kioo chako hakuna kama wewe basi hapo unaona hujakalia kuti kavu..lol


  c) Vijisenti vyake vinajitosheleza vikikuashiria ya kuwa wewe na uzao wako hamtakumbana na vijishida vya hapa na pale.......................ukiona hivyo basi unatia tiki tu......................mbele kwa mbele mengineyo utajaza mbele ya safari.

  d) Kabila au dini unaona maelewano yatakuwa hayana simile............

  e) Umri wake kakuzidi kwa hiyo unaona anajua mengi kukuzidi na hivyo kuwepo maelewano.............

  f) Mlisoma wote au ni jirani yako au ni childhood sweetheart............kwa hiyo unaona bora zimwi likujualo halikuli likakwisha and that is what makes you tick............................kama una mengineyo zaidi usihofu funguka tu...............

  michango ya vidume naona ni ya hisia lakini rukhsa nao walonge wanahisi ni kipi kilimfanya mwandani wake kusema IT IS HIM.......and no one else................
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,952
  Likes Received: 23,831
  Trophy Points: 280
  Sasa we Rutashubanyuma, kama hii sredi ni maalum kwa ladies mbona sasa umeni-tag?

  Mi ni MWANAUME bana, for Christ's sake!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Kyaiyembe

  Kyaiyembe JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 1,569
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Labda katu-tag tuwe observers
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,169
  Trophy Points: 280
  Dume zima halafu nizalishwe????
   
 5. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Hommie ivi leo ni lini tena
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Wanawake wanaangalia hela tu, hata kama ile kitu haisimami.
   
 7. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #7
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Akinitaja mtu hapa kaharibu.......................!
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Kuzalishwa? Imekaa kama ng'ombe vile na si binadamu.

  Ngoja wazaloshwao waje.
   
 9. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #9
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,552
  Trophy Points: 280
  Kongosho wewe unatka kujizalisha mwenyewe yawezekana kweli?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,552
  Trophy Points: 280
  Mtambuzi au mbegu zako ni dhaifu hazina matarajio yakuzalisha uzao bukheri nini?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,552
  Trophy Points: 280
  KakaJambazi akishza zipata badi atamtafuta yule mwenye ya kusimama amzalishe
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,552
  Trophy Points: 280
  Bujibuji uzalishwe na nani........wasikilizie wahusika uelimike
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #13
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,552
  Trophy Points: 280
  Na wakosoaji pale ambapo mjadala unakwenda kusiko.......... Kyaiyembe..........lol
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,552
  Trophy Points: 280
  Asprin na wewe tena? Hizi pupa za kutosoma na kutoa maoni umezianza lini?

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,169
  Trophy Points: 280
  Rutashubanyuma ungeandika kichwa cha habari kisicho na utata.
  Kichwa cha habari ndio kinakufanya eitha uyasome ya ndani au usiyasome
   
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,952
  Likes Received: 23,831
  Trophy Points: 280
  Kwa mujibu wa kalenda au wa mama kayayii?
   
 17. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #17
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Rutashubanyuma Kusema kweli iko a bit insulting... kwa nini usiweke unapenda uzae na mwanaume wa namna gani? inakuwa kama vile unazungumzia ng'ombe..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #18
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,952
  Likes Received: 23,831
  Trophy Points: 280
  Sikuwa na haja ya kusoma post yako kwa sababu tayari heading ilikuwa ishanipiga BAN. Ningekutwa naisoma afu nikaitwa shoga ningemlaumu nani?
   
 19. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #19
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Trend inabadilika, chunguza.

  Wanatafuta wenye hela kwa manufaa binafsi, wanachagua vipanga kuwapa ujauzito.

  For Pregnancy, Men with Brain Forever!

   
 20. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #20
  Jun 9, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  hahahaha kalenda yako ni ya kigiriki? Asee kimeumana kule.
   
Loading...