Ungependa utulivu? Tiba ya bure

Ungependa utulivu? Tiba ya bure

Hiv kukaa na kutulia juu ya milima kuna madhara mana shambn kwangu kuna mlima urefu wa minara 2 ya simu jion huwa napanda na kutulia kama masaa mawil hv chin ya huo mlima kuna pango ambalo linaweza kuingiza watu mia mbili pia kuna handaki lenye ukubwa wa kiwanja cha mpira ndan ya huo huo mlima
 
681b0674-ccd9-44cb-aca6-b9a3ba17be78.jpeg
 
Back
Top Bottom