Ungependa nani awe rais wako kati ya hawa?

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,712
John Pombe Magufuli,Anna Tibaijuka,Zito Zubdri Kabwe,Andrew Chenge,Bernad Membe,Edward Ngoyai Lowasa,Mizengo Kayanza Peter Pinda,Dr Wilbrod Peter Slaa,Fredirick Sumae,Freeman Aikaeli Mbowe,Anna Makinda,Asha Rose Mingiro,Getrude Mongella,Rostam Aziz,Agustine Mrema,Dk Ali Mohamed Shein,Seif Sharif Hamad,Prop Ibrahim Lipumba,Husein Mwinyi,Salim Ahmed Salim,Maik Mwandosya na Harison Mwakyembe?Je unapenda awe nani?
 
A. Chenge na E. Lowasa ndo wanaofaa, kwa hiyo waongoze kwa kugawana muda au wote kwa pamoja!
 
John Pombe Magufuli,Anna Tibaijuka,Zito Zubdri Kabwe,Andrew Chenge,Bernad Membe,Edward Ngoyai Lowasa,Mizengo Kayanza Peter Pinda,Dr Wilbrod Peter Slaa,Fredirick Sumae,Freeman Aikaeli Mbowe,Anna Makinda,Asha Rose Mingiro,Getrude Mongella,Rostam Aziz,Agustine Mrema,Dk Ali Mohamed Shein,Seif Sharif Hamad,Prop Ibrahim Lipumba,Husein Mwinyi,Salim Ahmed Salim,Maik Mwandosya na Harison Mwakyembe?Je unapenda awe nani?
Summary je kati ya hawa wewe ungependa awe nani
Nimeandika sababu zangu kwa kifupi sana lakini nafikiri zinabeba maana kubwa believe me.

.................Vote for Dr. W. Slaa .........................OR ...........Vote for Hon. H Mwinyi ........ OR.......... Vote For Hon E. Lowassa
images
......................
images
......................
images

..............Chadema Candidate................................................... CCM Candidate............................... Independent Candidate

......Serikali ya Utawala wa Sheria na Haki...................... Serikali ya Umoja na Mshikamano................... Serikali ya Uwajibikaji

Una maoni gani kati ya haya majina matatu ni yupi unayempa asilimia kubwa na kwa sababu gani kama kwa haya majina matatu hakuna unayehisi ni mgombea anayefaa ni yupi unayeona atafaa na kwa sababu zipi, natanguliza shukurani.
 
<i><span style="font-family: arial black"><font size="4"><b>A. Chenge na E. Lowasa ndo wanaofaa, kwa hiyo waongoze kwa kugawana muda au wote kwa pamoja!</b></font></span></i>
<br />
<br />
Mkuu tungekuwa na utaratibu huo ingekuwa sawa!Lakini hatuna!
 
John Pombe Magufuli,Anna Tibaijuka,Zito Zubdri Kabwe,Andrew Chenge,Bernad Membe,Edward Ngoyai Lowasa,Mizengo Kayanza Peter Pinda,Dr Wilbrod Peter Slaa,Fredirick Sumae,Freeman Aikaeli Mbowe,Anna Makinda,Asha Rose Mingiro,Getrude Mongella,Rostam Aziz,Agustine Mrema,Dk Ali Mohamed Shein,Seif Sharif Hamad,Prop Ibrahim Lipumba,Husein Mwinyi,Salim Ahmed Salim,Maik Mwandosya na Harison Mwakyembe?Je unapenda awe nani?

Bwana mbona unatuandikia foleni kubwaa wakati Rais wetu tushamjua - Hata ukienda shule ya msingi uite watoto 10, nane kati ya hao watakutajia huyo huyo - huku sasa kusumbuana kusoma tu.
 
Edward Lowasa for Presidency
Prime Minister Samweli Sita
Speaker: Tundu Lissu.

Maana wabunge wa Upinzani watakuwa wengi kuliko wa CCM....2015 i cant imagine.
 
mkuu naona umesahau kitu kimoja. Hao wanachama wa magamba wote ulipaswa uanze na neno Doctor, maana wao wakishakuwa marais wanapendaga kuitwa hivyo
 
Back
Top Bottom