adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,616
Hope u fine.
Hii imetokea kweli, kuna vijana wawili baba yao alifariki ghafla wakabaki na mama yao.
Kwao ilikuwa mambo mazuri vijana wakisoma secondary nzuri O level.
Baada ya mwaka 1 toka baba afariki mama akawahamisha wale watoto secondary mkoa mwingine mbali.
Likizo ya kwanza watoto walirudi nyumbani lakini cha ajabu mama alikasirika kwanini warudi bila kumtaarifu hivyo akawafosi warudi shule kwa lazima kishingo upande watoto wakaamua kurudi ila kabla ya kurudi masela wao pale mtaani wakawavuta maskio kwamba mama yenu anaishi na dogodogo ambae mlikuwa mnasoma wote hapo awali.
Mnaamua msirudi shule muhakikishe kweli inafika jioni dogo anaingia kwao wakaamua kuzunguka nyuma ya nyumba kereuwiiii wanaona dogo kabebwa mgongon kavaa taulo anapelekwa bafuni.
Vijana wakawa mbogo wakaingia ndani kuleta vurugu mama akawageukia kuwafukuza nyumbani na ada za shule hatawalipia vinginevyo wampe heshima dogo ikiwemo kumpa shikamoo asubuhi na akiwatuma waende popote wakifkiria yule dogo shule ni mbulula na walimzarau.
hivi ungekuwa wewe ungefanyaje hapo?