mtamanyali
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,161
- 616
Kwanza ntachimba kila kona ya nyumba
Huyo babu fiksi tu hawezi kuwa na hela zote hizo halafu aweke siri mpaka nusukaputi ndio aseme. Bosheni tu huyo hana lolote.HIVI KAMA UNGEKUWA WEWE UNGEFANYAJE?.,.,., babu yako ndio alikuwa anataka kukata roho akakuita wewe ambaye ndiye mjukuu wake akakupa wosia huu hapa "mjukuu wangu kipenz mimi ninazo milioni 800 , na hakuna mtu mwingine anayejua nilipoziweka zaid yangu, ila nataka nikupe wewe hizo pesa zoote kama urithi wako, hizo pesa nimeziweka kwenye, kwenye,kwenye, zipo kwenye, kwenye,,,.,.,., HALAFU GHAFLA ANAKUFA KABLA HAJAMALIZIA ALIPOWEKA PESA.. JE KAMA NI WEWE UTAFANYAJE?
Huyo babu fiksi tu hawezi kuwa na hela zote hizo halafu aweke siri mpaka nusukaputi ndio aseme. Bosheni tu huyo hana lolote.