ungekuwa wewe ungefanyaje/

ungekuwa wewe ungefanyaje/

mtamanyali

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,161
Reaction score
616
[h=6]HIVI KAMA UNGEKUWA WEWE UNGEFANYAJE?.,.,., babu yako ndio alikuwa anataka kukata roho akakuita wewe ambaye ndiye mjukuu wake akakupa wosia huu hapa "mjukuu wangu kipenz mimi ninazo milioni 800 , na hakuna mtu mwingine anayejua nilipoziweka zaid yangu, ila nataka nikupe wewe hizo pesa zoote kama urithi wako, hizo pesa nimeziweka kwenye, kwenye,kwenye, zipo kwenye, kwenye,,,.,.,., HALAFU GHAFLA ANAKUFA KABLA HAJAMALIZIA ALIPOWEKA PESA.. JE KAMA NI WEWE UTAFANYAJE?[/h]
 
Pesa margea hapo ntamuombea dua alale mahal pema peponi
 
Kwa usawa huu nacheki kama kweli babu alikuwa na access ya kuweza kuwa na hela kama hizo, vinginevyo nitamini alikuwa anataka kumpiga fiksi malaika wa zamu ili asiepe naye
 
loading.....
lazima nami nife ili nikamuulize hawezi kuondoka hivihivi then nitaludi kutumia pesa
 
I will move earth n' heaven in search of the buck

  • :flypig:
 
HIVI KAMA UNGEKUWA WEWE UNGEFANYAJE?.,.,., babu yako ndio alikuwa anataka kukata roho akakuita wewe ambaye ndiye mjukuu wake akakupa wosia huu hapa "mjukuu wangu kipenz mimi ninazo milioni 800 , na hakuna mtu mwingine anayejua nilipoziweka zaid yangu, ila nataka nikupe wewe hizo pesa zoote kama urithi wako, hizo pesa nimeziweka kwenye, kwenye,kwenye, zipo kwenye, kwenye,,,.,.,., HALAFU GHAFLA ANAKUFA KABLA HAJAMALIZIA ALIPOWEKA PESA.. JE KAMA NI WEWE UTAFANYAJE?
Huyo babu fiksi tu hawezi kuwa na hela zote hizo halafu aweke siri mpaka nusukaputi ndio aseme. Bosheni tu huyo hana lolote.
 
Huyo babu fiksi tu hawezi kuwa na hela zote hizo halafu aweke siri mpaka nusukaputi ndio aseme. Bosheni tu huyo hana lolote.

Yawezekana ni kweli alikuwa nazo, isipokuwa ukumbuke saa aliyokupangia mungu ikifika, hakuna awezaye kukuongezea hata chembe ya dk.Hivyo dogo kubali yaishe!
 
Ni kutapatapa wakati roho inatoka hakuna cha mamilioni wala nn,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom