REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,611
- 9,814
Leo tuzungumzie mazingira ambayo huleta utata katika mahusiano ambayo huweza tokea mfano;
Simu ya mwenza wako inapata tatizo ambalo kinasababisha simu kutofanya kazi siku zaidi ya nne, unaamua ichukua simu unaipeleka kwa fundi, fundi anaitengeneza anakwambia tayari simu imepona basi unataka ujiridhishe, je simu imepona kweli ile unawasha simu tu hivi inaingia meseji yenye ujumbe huu. "ANDAA MAZINGIRA NAKUJA KWA AJILI YAKO LEO"
Ukiangalia namba ni ngeni huijui meseji imekuja tu, je ungekuwa wewe ungefanyaje?