Ungekuwa wewe ungefanya nini?


jchofachogenda

jchofachogenda

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2012
Messages
538
Likes
36
Points
45
jchofachogenda

jchofachogenda

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2012
538 36 45
Ungekuwa wewe ndio upo ndani ya hili gari ungefanya nini? Na unahisi watu waliokuwepo kwenye gari hili wapo kwenye hali gani?
 
Mzee wa Rula

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Messages
8,181
Likes
119
Points
160
Mzee wa Rula

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2010
8,181 119 160
Ni kuzima gari kabisa, tembo hapendi kelele na kungojea majaliwa ya mtume.
 
Chipukizi

Chipukizi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Messages
2,351
Likes
1,195
Points
280
Chipukizi

Chipukizi

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2009
2,351 1,195 280
Ni kuzima gari kabisa, tembo hapendi kelele na kungojea majaliwa ya mtume.
mzee wa Rula unakumbuka siku ile Tarangire, si na sisi ilitukuta kasheshe inayofanana na hii?
 
Chipukizi

Chipukizi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Messages
2,351
Likes
1,195
Points
280
Chipukizi

Chipukizi

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2009
2,351 1,195 280
Wana JF tuliendaga Tarangile,sasa wakati tupo mbugani tulikutana na kundi la tembo tukiwa ndani ya kiasi,ilibidi tuzime gari mpaka wapite.tulisimama kwa muda,na watu waliingia uoga wakawa kimya
Usiombee ukukute wewe ona tu kwenye picha
 
Mpita Njia

Mpita Njia

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Messages
7,010
Likes
40
Points
145
Mpita Njia

Mpita Njia

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2008
7,010 40 145
Fungua kioo, mtekenye, anakimbia na wewe unasepa
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
43,251
Likes
40,834
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
43,251 40,834 280
Kwani mafuta yameisha?
 
Mchochezi

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Messages
7,628
Likes
2,031
Points
280
Mchochezi

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2012
7,628 2,031 280
halaf imagine gari imezima unatakiwa uisukume
 
The Bleiz

The Bleiz

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2012
Messages
3,861
Likes
2,569
Points
280
The Bleiz

The Bleiz

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2012
3,861 2,569 280
Namwambia shikamoo kaka tembo...
 
Gwankaja Gwakilingo

Gwankaja Gwakilingo

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2012
Messages
1,977
Likes
49
Points
145
Gwankaja Gwakilingo

Gwankaja Gwakilingo

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2012
1,977 49 145
Ningesafisha gari baada ya Kaka Tembo Kuondoka maana ndn ya gari lazima kungechafuka tu
 
MATESLAA

MATESLAA

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Messages
1,252
Likes
6
Points
0
Age
29
MATESLAA

MATESLAA

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2011
1,252 6 0
Mi ninge namchomeka kidoke kwenye naniliu then nakimbia
 
Mfarisayomtata

Mfarisayomtata

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Messages
444
Likes
103
Points
60
Mfarisayomtata

Mfarisayomtata

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2012
444 103 60
Maskini tembo, hana hata masaburi kidogo!!
 
C

Claxane

Senior Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
162
Likes
1
Points
0
C

Claxane

Senior Member
Joined Apr 16, 2011
162 1 0
Toka nduki kanyaga mafuta ukibaki umetaka mwenyewe
 

Forum statistics

Threads 1,275,229
Members 490,947
Posts 30,536,252