Fungua kioo, mtekenye, anakimbia na wewe unasepa
akili hiyo huwezi ipata kwa haraka, ukiwa ktk mazingira hayo unachanganyikiwa hata hujui la kufanya ni Mungu tu anakupa maarifa ufanye nini au anamsababisha tembo huyo aondoke maeneo hayoFungua kioo, mtekenye, anakimbia na wewe unasepa