Ungekuwa wewe Tundu Lissu - Baada ya kumiminiwa risasi zote zile ungefanyaje?

Haujui ni kwa nini amepigwa risasi na kwa nini waliompiga risasi waliamua kufanya hivyo, mtu hapigwi tu risasi bila ya sababu, labda ni false flag ya chadema ili waisingizie Serikali yetu iliyoback fire labda ni crime wamedhulumiana, labda ni drugs money, labda mambo ya mapenzi na mke wa mtu, labda ni power ndani ya chadema.

Anayejua ni yeye mwenye Tundu Lisu na dereva wake, kwanini na nani aliyempiga risasi, sisi wengine hatujui chochote.
IQ ndogo,Hakuna aliyejuu ya Sheria Yeyote aliyehusika ata iwe mke Wake Angekamatwa na pia ushahidi wa kamera ulichukuliwa vipi kama alionekana Ata Baba yake ni Mtuhumiwa.Ata Mtu aliyetiliwa mashaka hukamatwa.Basi Aliyempiga ni MUNGU Ambaye haonekani wala kushitakiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom