Ungekuwa na matobo mangapi?

Meruone

Member
Jul 29, 2012
25
7
Hebu fikiria na ujiulize kama kila dhambi ufanyayo unatobolewa, je ungekuwa na matobo mangapi ukitoa uliyonayo? Au ungekuwa kipi kati ya hivi vifuatavyo.
A. Chandarua
B. Wavu
C. Chujio
D.chekecheo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom