Ungekuwa na matobo mangapi?

Meruone

Member
Jul 29, 2012
25
7
Hebu fikiria kama kila dhambi ufanyayo unatobolewa,je ungekuwa na matobo mangapi ukitoa uliyonayo au ungekuwa kama kipi kati ya hivi?
(a) chandarua
(b) chujio
(c) wavu
(d) chekecheo
 
Hebu fikiria kama kila dhambi ufanyayo unatobolewa,je ungekuwa na matobo mangapi ukitoa uliyonayo au ungekuwa kama kipi kati ya hivi?
(a) chandarua
(b) chujio
(c) wavu
(d) chekecheo

Kwa wingi wa zambi zetu nahisi matobo yangezidi mpaka kufikia kuwa TOBO MOJA KUUUBWA.
 
Nahisi watu wangekuwa kama chandarua. Asubuhi hadi jioni ni chujio, usiku ndo kama wavu, sasa mara wiki, miezi na miaka? Nahisi ni zaidi ya chandarua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom