Ungefanyaje mbele ya mkwe

Ungefanyaje mbele ya mkwe

imma.one

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
542
Reaction score
37
Kuna wakati hujikuta na wakati mgumu wa kuamua kwa haraka.
Dada salma alitembelewa na Baba mkwe wake.
Asubuh ameamka anakwenda kukoga kwenye choo cha nje anamkuta Baba mkwe wake,mumewe na mwanae mdogo wa kiume,akiwa amevaa kanga mbili kifuani na kiunoni huku umbo lake likijichora kwa mbali (no 8) mtoto anamlilia mama.salma anamchukua na kumrusha rusha.
Mtoto akiwa hewani kanga zote zinavuka zinavuka wakati ndani hana hata kufuli(nguo ya ndani).
Wakati mgumu kwa Salma kumdaka mtoto au kuzuia kanga mbele ya mkwewe na mumewe.
Ni rahic kuamua ila inahitaji moyo.
Ungekuwa wewe ungefanyaje?
 
namdaka mtto ili mkwe nae asafishe macho mana mabinti wadogo atakua hajawaona siku nyingi
 
wakwe wenyewe wa mjini ndo akina bujibuji hapo utajali kitu gani.
 
Hapa sijakuelewa neno bujibuji kwangu imekuwa msamiati
hebu nipe maana
 
weeee siwezi kumwacha mtoto wangu aanguke, km vipi mkwe afunge macho au ayakodoe km anataka presha
 
Kwanini mkeo atoke na kanga mbele ya mkwe wake?
 
Jama alikuwa pia na sababu za kutoka na khanga mbili mbele ya mkwewe kwani hasa mazingira ndio ilikuwa tatizo,hivyo kumheshimu akaamua kuvaa khanga mbili na co moja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom