Ungefanyaje ingekuwa ni wewe?

Ungefanyaje ingekuwa ni wewe?

KOKUTONA

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2011
Posts
8,651
Reaction score
6,110
[h=5]Mrembo alipokea simu ngeni na mambo yalikuwa kama hivi:

Simu: Hellow una boy friend?

Mrembo: Ndio ninaye. Kwani we nani?

Simu: Mimi baba yako. Kumbe unaboy friend ukirudi utanitambua!

Simu ikakatika akiwa na mawazo nini afanye, Simu ikaita tena kwa namba ngeni.

Simu: Hello una boy friend?

Mrembo: Hapana sina!

Simu: Vipi mpenzi ina maana unanisaliti?

Mrembo: Hapana BABY nilijua baba!

Simu: Ni mimi baba yako nilitaka kuhakikisha tu kama kweli una boy friend. UTANIKOMA LEO!.........

UNGEKUA WEWE UNGEFANYAJE_____???
[/h]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom