Ungefanya nini ukijua unakufa kesho ?

Ungefanya nini ukijua unakufa kesho ?

Dr leader

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Posts
1,041
Reaction score
1,294
Kifo ni ukumbusho wa jinsi tulivyo dhaifu, na kwamba kila kitu kinaweza kuondoka kwa sekunde.

Hofu zako zote hizo - wale wanaokuzuia: hofu ya kukataliwa, kuchekwa, kutengwa; - haimaanishi chochote unapoongeza kifo kwenye fomula.

Ungefanya nini, ikiwa ungejua utakufa baada ya saa chache?

Ulimwambia huyo binti unampenda?

Kwa sababu hayo hayapaswi kuogopwa tena.

Kifo huweka mambo yote sawa.

Kila kitu kingine kisichokuwa kifo kinakuwa kitu kidogo tu.

Ungefanya nini ikiwa ungejua utakufa wiki ijayo?

Ungefanya nini ikiwa ungejua utakufa kesho?

Ungefanya nini ikiwa ungejua utakufa mwezi ujao?

Naam. FANYA HIVYO, SASA.

Ishi, wakati bado unaweza.
 
Kwa mm hapa ningetubu dhambi zangu kwanza hivi kama kuna motoni na peponi niendezangu peponi. vitu vingine ningeacha tu wanao baki wavichukue .
 
KUTAFUTA sehemu tulivu. Inaweza KUA ufukweni au porini mbali na mji natulia ZANGU NAANZA kufikiria MeMA nILIO FANYA na mabaya nilo FANYA makubwa kwa madogo. Kutumia VYA nzo MBALIMBALI kuwaomba msamaha WATU nILIO wakosea na WOTE kwa ujumla. Kulima kwa uchungu MBELE za MUNGU nikijutia me abaya YANGU YOTE niloganya BAADA ya HAPO NARUDI nyumbani.. taanda chakula cha pamoja na watoto WAJUKUU , marafiki na wapita njia watoto yatima hata kwa kidogo KITU. kufanya maombi pamoja kutoa maelekezo ya mali nazo ACHA na wapi nizikwe basi. Nasepa ZANGU misikitini au kanisani KIFO kinikutie KULE

Kwishaaaa

Bro Alex on da beats yoow
 
Kifo ni sehemu ya maisha. Kama umezaliwa kwanini kuhofia kifo? Umekubali kuzaliwa kubali kifo pia.
Kinachokufa ni mwili. Ukiwekeza na kuthamini mwili lazima hofu ya kifo itakusumbua. Ukikumbuka wewe ni nani na kutambua dhumuni lako katika ulimwengu hutahofia au kuwaza kuhusu kifo
 
Kifo ni ukumbusho wa jinsi tulivyo dhaifu, na kwamba kila kitu kinaweza kuondoka kwa sekunde.

Hofu zako zote hizo - wale wanaokuzuia: hofu ya kukataliwa, kuchekwa, kutengwa; - haimaanishi chochote unapoongeza kifo kwenye fomula.

Ungefanya nini, ikiwa ungejua utakufa baada ya saa chache?

Ulimwambia huyo binti unampenda?

Kwa sababu hayo hayapaswi kuogopwa tena.

Kifo huweka mambo yote sawa.

Kila kitu kingine kisichokuwa kifo kinakuwa kitu kidogo tu.

Ungefanya nini ikiwa ungejua utakufa wiki ijayo?

Ungefanya nini ikiwa ungejua utakufa kesho?

Ungefanya nini ikiwa ungejua utakufa mwezi ujao?

Naam. FANYA HIVYO, SASA.

Ishi, wakati bado unaweza.
Kama nikikuwa na nguvu ngepiga kimoja cha mwisho na heavy baada ya hapo ngelala uzingizi mzito
 
KUTAFUTA sehemu tulivu. Inaweza KUA ufukweni au porini mbali na mji natulia ZANGU NAANZA kufikiria MeMA nILIO FANYA na mabaya nilo FANYA makubwa kwa madogo. Kutumia VYA nzo MBALIMBALI kuwaomba msamaha WATU nILIO wakosea na WOTE kwa ujumla. Kulima kwa uchungu MBELE za MUNGU nikijutia me abaya YANGU YOTE niloganya BAADA ya HAPO NARUDI nyumbani.. taanda chakula cha pamoja na watoto WAJUKUU , marafiki na wapita njia watoto yatima hata kwa kidogo KITU. kufanya maombi pamoja kutoa maelekezo ya mali nazo ACHA na wapi nizikwe basi. Nasepa ZANGU misikitini au kanisani KIFO kinikutie KULE

Kwishaaaa

Bro Alex on da beats yoow
Fanya hivyo sasa
 
Kuoga kabisa na kuvaa nguo ninayoitaka ...maana ukifa watu wanakuchagulia ya shamba nguo ya church wanabaki nayo
 
Kifo ni sehemu ya maisha. Kama umezaliwa kwanini kuhofia kifo? Umekubali kuzaliwa kubali kifo pia.
Kinachokufa ni mwili. Ukiwekeza na kuthamini mwili lazima hofu ya kifo itakusumbua. Ukikumbuka wewe ni nani na kutambua dhumuni lako katika ulimwengu hutahofia au kuwaza kuhusu kifo
Mkuu wewe dhumuni lako ni nini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom