Imekukwaza ama? Halafu kila thread ambayo ipo hapa unahis hii ni sehemu yake husika? N besides iwanted an opinion on the case nt where to place this thread. Sorry kwakukwazika we mwali we
Niko poa kabisa ila nina njaa mbaya ndio nataka kwenda mahali nikagonge zangu supu ya Mkia fasterHaya vp mzima weyee
Wala hujanikwaza mpenzi, nilikua nakushahuri tuImekukwaza ama? Halafu kila thread ambayo ipo hapa unahis hii ni sehemu yake husika? N besides iwanted an opinion on the case nt where to place this thread. Sorry kwakukwazika we mwali we
wana jf wenzangu hebu tuelezane hapa ukweli na unachofikiri. 12 years tangu huyo baba aondoke nyumban kwake alisema anaenda tafuta maisha nchi za watu huko[south africa] na alimuachia mke watoto watatu msichana mmoja ambae ndo wakwanza na wavulana wawil. kipnd hicho msichana alikua ndo kwanza yupo std 6 na hawa wengne walikuwa wadogo bado. Mawasiliano yalikuwepo mpaka kipind bint anamaliza la saba na mama mtu alikua anajitahid aweze kumpeleka bintiye shule na alifanikiwa kwan bint alikua anampa moyo saana mamaye kwa kufaulu vizuri sekondari alisoma kwa vibali mpaka kamaliza form four. Hapo mawasiliano na mzee yalikata kipind bint yupo form one. Kila wakipiga ule namba ya mzee inaita bila kupokelewa basi bint aliendelea kusoma 5n 6 upto chuo na suala hili lamuumiza kichwa saaana hajui afanye nin amtafutaje babaake na isitoshe hakua baba mwenye tabia mbovu aliipenda familia yake saana na mkewe but mpaka sasa hawajui kama mzima au laah kuna wakati inamuuma saana pind amwonapo mamaake analia kuhusu hilo jambo na bado pia mama ndo anafanya kila njia kuwezesha familia yake isome, ile, itibiwe na kilakitu. Swali nikwamba msichana huyu anahaki yakumchukia babaye? Au afanye nin?
Note: ts serious matter matan sitaki hapa. Vigezo na masharti vizingatiwe hapa
Wala hujanikwaza mpenzi, nilikua nakushahuri tu
Huku chit chat watu wanakuja kuondoa stress zao
Story kama hii inataka watu wakupe ushahuri wa kweli
Ndio maana nikasema hivo. Sorry kama nimekosea...
hapo asimchukie baba yake, maisha yanabadika kama upepo wa baharini, leo unaweza ukawa masikini kesho ukawa tajiri, hawawezi kujua nini kilichomsibu baba yao, wajuao ni wawili tu nao ni MUNGU NA BABA yao, inawabidi wazidishe maombi na amani miongoni mwao
Comi hii ni sahihi ila unajua ee yani yafika pind mpaka ile hali ya kuwa na subra inapotea bt any way labda siku moja ntaja wapa feedback kilichojiri
Beibe!
En'hee usiku huu, tuondoke majukwaani, unajua muda uliobaki ni wa nini?
Hun jaman mekusubiria wee mpaka mechoka etii haya ulikuwa wapi wewe.
Bhana si unajua mtaa wetu hauna umeme tangu jioni?
Nilikua pale kwenye Bar ya Mrema naangalia mpira my Swiry!
Kwani nini mbaya?
Mekumith baana memith sikia saut yako bby .
Upeo wa macho yangu upo mbali nawewe napia mengne waju a siri ya office wanielewa mkeo fika nikisema hivi naamanisha nin si eti love?sauti tu?
Hamna kingine?
Comi hii ni sahihi ila unajua ee yani yafika pind mpaka ile hali ya kuwa na subra inapotea bt any way labda siku moja ntaja wapa feedback kilichojiri
Upeo wa macho yangu upo mbali nawewe napia mengne waju a siri ya office wanielewa mkeo fika nikisema hivi naamanisha nin si eti love?
huna haja ya kumchukia.....
Hakuna kitu kigumu kama kuishi na chuki.......
Hata kama baba kapata binti wa kizulu...
Ila duniani kuna mengi, mna uhakika huyo baba mzima?
Au kawekwa ndani? South kuna mengi..........
Msihukumu kabla hamjajua nini kimempata
Umemuona mentor hun?Haswaaa , Hun ! Mbona unauliza jibu ?
Wala hujanikwaza mpenzi, nilikua nakushahuri tu
Huku chit chat watu wanakuja kuondoa stress zao
Story kama hii inataka watu wakupe ushahuri wa kweli
Ndio maana nikasema hivo. Sorry kama nimekosea...
Umemuona mentor hun?