UNGA WA MUHOGO

mfyetele

Member
Apr 30, 2012
24
3
Samahani wana jf Nina Shamba langu ddogo la ekari 2 la muhogo. Ninatamani kutengeneza unga wa muhogo ili niuuze badala ya muhogo wenyewe. Plz ninaomba Mwenye uzoefu na kazi hiyo nipo Dar.
 
Tanzania bado haija amka sana kwenye matumizi mbali mbali ya unga wa mihogo, ndo mana wengi wanauza mihogo shambani, ukitaka usirudi tena shamba wekeza katika kuuza unga wa mihogo, vikundi vingi mimi navijua vimekufa kwa kuuza unga na bidhaa za unga wa mihogo, watanzania hawajui chapatti za unga wa mihogo wanajua chapatti za ngano.
 
Back
Top Bottom