jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,569
- 43,614
niwapi ntapata unga wa dengu kwa bei rahisi / chimbo la unga wa dengu
Upo wapi
niwapi ntapata unga wa dengu kwa bei rahisi / chimbo la unga wa dengu
Scrub uso Na ice cubes asubuh Na jioni kila sikuNina tatizo la kuota chunusi usoni, nimeshauriwa na mtu nitumie unga wa dengu. Hii itasaidia kumaliza tatizo?
Asante miss nilishakaa poaScrub uso Na ice cubes asubuh Na jioni kila siku