Kuna mdau kanijibu cmnt yangu,anasema mbn kuna watu wanatumia crystal meth na wako poa πKweli mkuu ,vijana wanapenda kuiga na kudanganyana ,wengi wanaongopeana kwamba ukipiga MADUDE ukimkamatia manzi SHOW SHOW na wengine ndiyo kama hivyo kugongea MISUBA bila kujua source yake ndiyo hivyo wanapigwa COCKTAIL.
Yupo wapi huyu Dada. Nilikuwa namkubali Sana...Episode ya mwisho nilimuona ana mimba kubwa ya mtoto wa piliDaaah Basilisa alikuwa anakiendesha ,kweli sijakigumia kitambo sana.
Byser wakina dog hmd ndy walikuwa wana mpotezaWengi waliosemwa kwamba wanatumia enzi hizo baadhi washatangulia mbele za haki na wengine wameshaacha.
M.A.P Mak Malick(Simba) , Ngwair ,Langa ,Dogo Mfaume etc
Walioacha Lord IZI(Terror) ,Fanani , Ibra Da Hustler ,Byser etc
Wanaoendelea Simba la masimba Haujui.
Alizaaga mwanae sasa mkubwaYupo wapi huyu Dada. Nilikuwa namkubali Sana...Episode ya mwisho nilimuona ana mimba kubwa ya mtoto wa pili
Ni kweli NDUNYA ZITO alikuwa anampoteza sana Byser bora alivyosanuka mapema.Byser wakina dog hmd ndy walikuwa wana mpoteza
Ova
Labda kwasasa yupo production ,background.Yupo wapi huyu Dada. Nilikuwa namkubali Sana...Episode ya mwisho nilimuona ana mimba kubwa ya mtoto wa pili
Hajui kwamba wewe ni don town kitambo KINO ipo Mabegani mwanzo mwisho mbigwa mbigwa zote unazijua from A to Z ,watu kama hao ni kuwaacha tu ,cystal meth ni hatari akitaka ajue agugo skid row L.A aone ilivyowaathiri ,hiyo kitu inaleta sana stroke kama ulivyosema.Kuna mdau kanijibu cmnt yangu,anasema mbn kuna watu wanatumia crystal meth na wako poa π
Skumjibu,ila nkacheka tu
Yah hao wakina ngwea wlivamia mambo kwa kuiga
Unyamwezi mwingi tu mwisho wa siku ndiyo hivyo
Sema wabongo kwenye kuambiana ukweli tuna unafki sana
Ova
Huyo mpk u nda-pu ashafany sn trp za bongolala to madibNi kweli NDUNYA ZITO alikuwa anampoteza sana Byser bora alivyosanuka mapema.
Ile ina damage ubongo vibaya mnoHajui kwamba wewe ni don town kitambo KINO ipo Mabegani mwanzo mwisho mbigwa mbigwa zote unazijua from A to Z ,watu kama hao ni kuwaacha tu ,cystal meth ni hatari akitaka ajue agugo skid row L.A aone ilivyowaathiri ,hiyo kitu inaleta sana stroke kama ulivyosema.
Zile Civilian zilizoandikwa 26 for Life, Papaa Fololo si ndio za kwao??Huyo mpk u nda-pu ashafany sn trp za bongolala to madib
Mzk zug tu
Ila kwa ss naona km wame tulia si unajua kuna mkono mrefu ukinasa
Ova
Hahaha kweli dogo hmd alikuwa Ndapu...mziki ni camouflage tu....na alikuwa anajitapa kwenye nyimbo zake "wanaosniff na kusmoke mimi ndiyo nawacontrol"Huyo mpk u nda-pu ashafany sn trp za bongolala to madib
Mzk zug tu
Ila kwa ss naona km wame tulia si unajua kuna mkono mrefu ukinasa
Ova
Hyo alipewag trip moja huko kwa mchezaji,akapewa begiHahaha kweli dogo hmd alikuwa Ndapu...mziki ni camouflage tu....na alikuwa anajitapa kwenye nyimbo zake "wanaosniff na kusmoke mimi ndiyo nawacontrol"
Duuh π πHyo alipewag trip moja huko kwa mchezaji,akapewa begi
Aliburuze arudi nalo bongo mbona aliliacha huko π
Mabaharia huko wacha wamlaani π
Alishaona ntanasa port π
Ova
Ila mbona bado blue na nyandu ni marafiki?Ni kweli NDUNYA ZITO alikuwa anampoteza sana Byser bora alivyosanuka mapema.
πππChid kabaki kichwa mwili wote umeisha
Mmeanzaa Waja, khaaah.Hivi uzinzi,ushoga na madawa ya kulevya ipi zambi kubwa
"Blazamen yupo club analewa anayumba star nipo site najenga majumba ,ni mwendo wa gucci na prada mpaka wakiniona waseme shikamoo baba" - ByserIla mbona bado blue na nyandu ni marafiki?