Unfortunately, the process com.android.phone has stopped

Unfortunately, the process com.android.phone has stopped

Huawei ndo huwa hazichelewi kufa kwa mdudu huyo,yaan zinakufa kabisa hata mafundi uliowapelekea siyo kwamba walishindwa ila ni simu ynyewe imefikia situation ambayo hata uki command ili uingie kwenye update mode inakuwa haiwezi tena na ikifika hapo ujue hata fundi haiwez labda akuuzie machine nyingine
Kwaio tukubaliane kwamba simu aina ya smartphone walioziruhusu zitumike,awakuangalia upande wa pili wa hizo zimu wameangalia positve tu ila upande wa negative ata awanampango
 
Kwaio tukubaliane kwamba simu aina ya smartphone walioziruhusu zitumike,awakuangalia upande wa pili wa hizo zimu wameangalia positve tu ila upande wa negative ata awanampango
Ndo ukashauliwa kununua simu halisi mkuu,kwenye iphone,samsung,htc,LG zile halisi(originally) hiz mambo huwez kutana nazo hata cku moja
 
Inawezekana mkuu. Lakini kwa Tecno L6 sidhani kama hiyo ni sababu pekee. Mimi nimechukua simu mpya dukani, ikasumbua. Nikairudisha na KUBADILISHIWA.... Na hiyo nyingine tatizo liko pale pale, kumbuka hapo sijaangalia hayo uliyoyasema.
Porno movie ni tatzo kubwa na kudownload paspo nidhamu
 
kukusaidia kwanza taja simu yako ni ain gani.? Tatzo hlo mostly n kwenyesimu za mediatek na baadhi ya smu za huawei ambazo ni qualcom...
Mkuu ishanitokea sana kwenye htc na hata samsung.. Kasoro lg na sony sijawah kukutana ha hii kitu, hapo vipi!!?
 
Tatizo sio kununua tatizo ni bei,japo kuna msemo unasemaga kizuri ni garama.
Swadakta mkuu kizuri gharama lakini ukiogopa hiyo gharama halafu ukaenda kununua hiyo tecno ukipatwa na hiyo unfortunately ujue gharama zitapanda mpaka kulingana na Samsung note 3 maana kuiflash siyo chini ya elf 20
 
Nakuelewa ila bahati mbaya ata hizo OG ndo ipatwe na shida basi vifaa vyake mpaka uvipate utalia sana.Niko naka LG karipatwa na tatizo la housing kapo kabatini
 
Nakuelewa ila bahati mbaya ata hizo OG ndo ipatwe na shida basi vifaa vyake mpaka uvipate utalia sana.Niko naka LG karipatwa na tatizo la housing kapo kabatini
[emoji3][emoji3][emoji3]uache uoga mkuu,unajua vifaa hamna kwa sababu hamnunui simu hizo kwa wingi,so wafanya biashara hawatak hasara maana wakizileta zinakaa sana,mbona hapo south tu vifaa vya og ni vingi kuliko vya tecno??
 
Mkuu siyo kwa maana mbaya nilitaka nianze ushauri sasa,mimi ni fundi simu na hizo mishe almost kila cku nakutana nazo
Mimi nina Huawei ilikuwa kila muda inaleta huo ujumbe,na ikishauleta hautaweza kuandika msg ya aina yoyote...baada ya kuona hivyo niliamua Ku disable Google app,hilo tatizo likaisha....!!
 
[emoji3][emoji3][emoji3]uache uoga mkuu,unajua vifaa hamna kwa sababu hamnunui simu hizo kwa wingi,so wafanya biashara hawatak hasara maana wakizileta zinakaa sana,mbona hapo south tu vifaa vya og ni vingi kuliko vya tecno??
Sasa uoni tatizo sio letu wanunuzi tatizo nilawanaofanya biashara coz wao ndo wanatujengea ile dhana ya kuenderea kununua vitu visivyo na kwaliti
 
Swadakta mkuu kizuri gharama lakini ukiogopa hiyo gharama halafu ukaenda kununua hiyo tecno ukipatwa na hiyo unfortunately ujue gharama zitapanda mpaka kulingana na Samsung note 3 maana kuiflash siyo chini ya elf 20
Hapo sio Ku flash Ila kubadilisha file in elfu 5 tu
 
Ndo ukashauliwa kununua simu halisi mkuu,kwenye iphone,samsung,htc,LG zile halisi(originally) hiz mambo huwez kutana nazo hata cku moja
weeee wewe ni fundi kweli? hizi simu unazomtajia pia nazo zinamatatizo yake, kasoro iphone kidoogo kwa sababu haitumii android apps, lakini zilizobaki zote magonjwa kama kawa
 
weeee wewe ni fundi kweli? hizi simu unazomtajia pia nazo zinamatatizo yake, kasoro iphone kidoogo kwa sababu haitumii android apps, lakini zilizobaki zote magonjwa kama kawa
Samsung akiingia Unfortunately unai reset tu na mdudu anapotea tofauti na tecno au Huawei akiingia mpaka kubadili file la simu na akikaa muda mrefu simu ndo basi tena
 
Samsung akiingia Unfortunately unai reset tu na mdudu anapotea tofauti na tecno au Huawei akiingia mpaka kubadili file la simu na akikaa muda mrefu simu ndo basi tena
Ni kweli mkuu hilo halinaubishi na imegundulika hizi simu za androids ni rahisi sana kudukuliwa sembuse kushambukiwa na virus
 
Hata mimi ilinisumbua sana hasa kwenye kupokea simu, kiasi kwamba niliirudidha dukani na wakanibadilishia. Hata hivyo tatizo liliendelea hata kwa hiyo yingine. Lakini nashukuru ilinipa akili, kwa sasa hilo ni tatizo dogo..... Nilipata ufumbuzi mwenyewe
Ulifanyaje mkuuu
 
Ulifanyaje mkuuu
[quote uid=373251 name="kikwambi" post=17143632]Mkuu hata mm ni muanga wa ilo tatizo mkuu yangu ni Tecno L6 nikipigiwa siwezi kupokea inaandika "UNFORTUNATELY THE PHONE HAS STOPPED"[/QUOTE]<br />Pole sana. Mimi mwenyewe natumia tecno L6 na hilo tatizo limenisumbua sana, nilienda kwa mafundi bila mafanikio, na nadhani hili ni tatizo la kawaida kwa toleo hili. Kufix tatizo hilo nenda playstore udownload "HD caller ID" ya "NickyCho" na uiset utakavyo wewe.<br />Tatizo lako litaisha. Kama itakusumbua uliza zaidi
 
Back
Top Bottom