mshkaji wangu mmoja alikuwa mzima wa afya siku moja alikuwa anafua!katika harakati za kuanika nguo kumbe ule waya wa kuanikia nguo ulikuwa una shot!!!anaanika nguo akapigwa shot na kufariki papo hapo uani kwao mbele ya dada zake na ndugu zake waliokuwa uani wakati anafua huku akipiga nao story!