ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
- Thread starter
-
- #121
when you fall in love at this time you will understand it where do you stand when things goes wrongly.
Nikimtafakari John Cena na ubabe wake ulingoni napata picha fulani ya mbeba picha. Ingawaje ile ya awali ilikuwa na mvuto wake kulingana na michango yako, lakini toka ulivyoanza kuwa mbishi ukaone na avatar uibadili kabisa.Mwaka huu tusipoomba msamaha yanaweza kutukuta yaliyomkuta Randy Orton.Kwa hiyo avatar yangu inaleta uhalisia kimtazamo au?
Hivi kile kitu kilishaondolewa kumbe?
Nikimtafakari John Cena na ubabe wake ulingoni napata picha fulani ya mbeba picha. Ingawaje ile ya awali ilikuwa na mvuto wake kulingana na michango yako, lakini toka ulivyoanza kuwa mbishi ukaone na avatar uibadili kabisa.Mwaka huu tusipoomba msamaha yanaweza kutukuta yaliyomkuta Randy Orton.
Kama nimekosea ladyfurahia unaweza kunirekebisha.
na hao wanaume wa siku hizi mna mapenzi ya kusaidia wake zenu magoal keeper kwa moyo? mbona wanaume naona wanatafuta tu wamama wanaojiweza....watu ni wabinafsi kweli siku hizi kwa pande zote
Mhh unasema? sijakusikia vizuri ujue!
Madam,
Mbona makavu makavu? Mapenzi hayachagui kipato
Madam,
Mbona makavu makavu? Mapenzi hayachagui kipato
Mwenyewe anajua kunakitu alisema humuhumu kuwa bado kipo. Watu tukashangaa mpaka sasa kipo vipi? Akiniruhusu kukitaja nitakwambia.kitu gani hicho jamani? tuhabarisheni sote
Ni kweli kabisa. Suala ni kwamba, mlipoumbwa wasaidizi, jukumu lenu ni kuwasaidia wanaume pale wanapokuwa kwenye hali zote, shida na raha. Tukiwa na shida hamuishi kutukimbia. Huyu wa kwenye hii stori ni kwamba alimsaidia mpenziwe alipokuwa bondeni (kwenye shida), lakini baada ya mwenzake kutoka bondeni wakasimama pamoja tena kujiweka vizuri kama familia. Hii ndio inayotakiwa.ameongea lake la moyoni kwani wanaume wa siku hizi mmekuwa mwanaume suruali na sio mwanaume mtafutaji/muwajibikaji
Kwani Mungu kumuumba kiumbe mme wa kwanza alikuwa hana makusudi naye?
alikuwa na makusudi yake kuwaumba wa kwanza kwani nyie ndo mwawajibikaji
na sisi ni wasaidizi tu pale inaposhindikana katika familia.
Hayo ni maneno tu, hata kwenye khanga yapo!hata signature yako yasema hivyohivyo wewe uone hapa nimepaste: A successful man is one who makes more money than his wife can spend. A successful woman is one who can find such a man!
mwenyewe anajua kunakitu alisema humuhumu kuwa bado kipo. Watu tukashangaa mpaka sasa kipo vipi? Akiniruhusu kukitaja nitakwambia.
Ni kweli kabisa. Suala ni kwamba, mlipoumbwa wasaidizi, jukumu lenu ni kuwasaidia wanaume pale wanapokuwa kwenye hali zote, shida na raha. Tukiwa na shida hamuishi kutukimbia. Huyu wa kwenye hii stori ni kwamba alimsaidia mpenziwe alipokuwa bondeni (kwenye shida), lakini baada ya mwenzake kutoka bondeni wakasimama pamoja tena kujiweka vizuri kama familia. Hii ndio inayotakiwa.
Hayo ni maneno tu, hata kwenye khanga yapo!
Mkuu grafani11 mapenzi ya kweli kwa hali halisi hayapo na eti utegemee unamuoa mwanamke huna kazi huna kipato wakati yeye ana kipato useme utegemee mshahara wake au afanye kama alivyofanya huyo dada hapo ni pagumu
MESTOD ndo maana tunasema ni wachache sana ambao unaweza pata wa kufanya hivyo mkuu
Yaani ni wa kutafuta na sio wa kumkuta maana wanawake wa kidigital haawa ni ngumu sana mkuu
Shukuru Mungu sana ukikutana na mwanamke kama huyo maishani mwako
For sure mkuu. Kila nikienda kuwatembelea dada ni mnyenyekevu kuliko kawaida. Huwa nashindwa kumuelewa yule dada, lakini ni wachache mno hao. Na amekuwa akimpa moyo sana jamaa asikate tama, aendelee kufight hivyo hivyo!
na hao wanaume wa siku hizi mna mapenzi ya kusaidia wake zenu magoal keeper kwa moyo? mbona wanaume naona wanatafuta tu wamama wanaojiweza....watu ni wabinafsi kweli siku hizi kwa pande zote
[/QUOTE]ona huyu aliyeandika hii post yake samahani kama itakuboa :nimeona niipaste hapa haya ndo mambo nisiyoyataka huwezi penda mtu kwa tamaa za kimwili tu yani kuangalia uwezo wa kipesa alionao ona hii sasa:
[lengo langu ni kuomba dada mmoja mrembo mwenye vigezo vifuatavyo niwe nae mpaka mwisho wa dunia hii ya mwenyezi mungu:
>>awe na imani sana kwa yesu kristo ,yaani mshika maandiko.
>>awe ana elimu kuanzia diploma kwenda juu kwa fani yeyote.
>>awe ameajiriwa na anakipato kama mimi nilivyo na kipato.
>>awe anaishi kwake si tegemezi tena, mwenye uhuru wa kimaisha kama mtu mzima.
>>awe si mfupi bali wa wastani au mrefu
>>awe mrembo wa sura na asiwe mweusi hata kidogo.
>>awe na umbo zuri.
cc😡Mtambuzi, Ruttashobolwa, Asprin, Chimbuvu, Madame B, madameA, Bujibuji (rudi kwenu), watu8
QUOTE=grafani11;7062251]Unajaribu kulenga jiwe kwangu lakini wenye macho watakuwa wameona unamlenga nani, mimi nilijaribu kuwajibu wale wanaompinga mkuu Rocky wakati wanaelewa ukweli ndiyo huo.
Ukifuatilia kwa makini hapo juu utauona ukweli uko wapi.
Mkuu hongera kwa kuiona asilimia moja kwa mia (1%) aliyoisema mkuu Rocky katika moja ya threads zake kwenye hoja hii hii. Hao wapo lakini kwa asilimia hiyo hapo juu.Mkuu wapo, na nimeshuhudia kwa jamaa yangu hapa Dar. Wameoana toka mwaka 2011, na jamaa hana kazi japo huwa anapata deal za hapa na pale. Wife wake alichofanya ni kumkabidhi ATM, mshahara ukiingia jamaa ndo anatoa na kupanga matumizi. They are so happy!