mwangellahs2
Member
- May 1, 2017
- 20
- 8
Wale wenye umri kama wangu,mnakumbuka ile enzi ya chupi za kiume zilikuwa zinaitwa VIP?
Tukumbushane sifa za zile chupi. Ivi zilikuwa zitatokea wapi?
Tukumbushane sifa za zile chupi. Ivi zilikuwa zitatokea wapi?