Napenda sana post zako
hata mimi huwa na shangaa sana... inaonekan sekunde 10 kwa professional photographer zinamwezesha kufanya mambo makubwa....I usually ask my self at what time these photographers take such pictures some times it might be a difficult job
I usually ask my self at what time these photographers take such pictures some times it might be a difficult job
Umenikumbusha National Geographic Channel ile achana nayo kabisasorry
have to answer you in Swahili so every one can understand..
very nice question ....
huwa wanaweka warning system mahali kwenye Volcano eruption, Tsunami
Tornadoes na vitu kama hivyo kwa hiyo huwa hawa wataalum wanapenda
kuwa hapo masaa na wengine wanta camp hapo kwa wiki wamesha set camera
zao wanasubiri tu ....
ndipo mimi na wewe tunabahatika kuona picha kama hizi..
AD...
dah mpendwa,
its both beautiful and horrible! Mungu aliumba jamani, hii dunia unaonekana ina mambo magumu sana magumu kuyajua, nguvu za asili siku moja zaweza kuitikisa hii dunia na kuipasua vipande vipande
jamani mwacheni Mungu aliyeumba hii dunia aitwe Mungu!
thanks AD for nice photoes in recent weeks, inaonekana una hobby na photo! bado nakumbika zile photo za beautiful city, photoes of the week around the world, just to mention a few!
ubarikiwe sana mpendwa
Glory to God!
Yah!! I will be around make sure you buy popcornteh teh teh teh
uko free weekend ??
twaweza kukaa hapa siku nzima kuangali tuu
Yah!! I will be around make sure you buy popcorn