Underwater ( Volcano) eruption in Tonga

I usually ask my self at what time these photographers take such pictures some times it might be a difficult and tough job

Mkuu, think even the camera technology that might have been used . Don't think of yashika you used to. But they are courageous pia.
 
Sante Miss Judy

Kwa kweli hii dunia sisi bado hatuijui
vizuri bali alie iumba ndie anaye tuonyesha
nguvu zake....
na kuna maajabu mengi tu
ambayo bado hatujayaona...
kweli Mungu ni wa ku ogopwa...

thanks for a good job my dear AD,

nimeishapita na kjle kwenye photo os the decade na mpaka sasa niko mdomo wazi kwa niliyoyaona kule!

ubarikiwe sana mpendwa

Glory to God!
 
kuna mtu ameuliza hilo tukio limetokea lini? pia hiyo eruption haikuambatana na tsunami? maana tsunami nyingi huanza kwa style hiyo.
 
when????????

ilikuwa kwenye mwezi wa tatu mwaka wa 2009

kuna mtu ameuliza hilo tukio limetokea lini? pia hiyo eruption haikuambatana na tsunami? maana tsunami nyingi huanza kwa style hiyo.

jibu hapo juu..

Ilitokea kama 10 kilometer away from the coast..
haikuwa athiri wana Tonga.. na kulikuwa na tetemeko
lililo ambatana na hiyo Volcano (about 4.4) ..
mawimbi makubwa lakini ( haya kuwa Tsunami)..
 
What a spectacular view !!!!! Tutaona mambo mengi kweli ktk era hii tunayoishi; sijui ndio tuseme dunia iko kwenye ukingo wa mwisho kabisa kabla ya kutoweka
 
What a spectacular view !!!!! Tutaona mambo mengi kweli ktk era hii tunayoishi; sijui ndio tuseme dunia iko kwenye ukingo wa mwisho kabisa kabla ya kutoweka

for some reason
naamini kuna mengi maajabu
yanakuja.... Hii dunia imebeba siri nyingi
sana...
 
Maajabu ya Mungu!
One amonge the worst natural disaster
Siku yasije tokea lake nyasa na tanganyika maana ni lift valley lakes maana vina vyake visije vikawa ndo nafuu ya hayo volcanic ashes kutoka!
 
Maajabu ya Mungu!<br />
One amonge the worst natural disaster<br />
Siku yasije tokea lake nyasa na tanganyika maana ni lift valley lakes maana vina vyake visije vikawa ndo nafuu ya hayo volcanic ashes kutoka!

Mara nyingi hutokea baharini...
Lakini haya mambo hayana formula ..
Tuzidi omba yasitokee kwetu...
 
Back
Top Bottom