Hahahaha...Asha D...kama amepitia hii thread mayb!
Ila nawapenda kwenye having fun..ukiwa nao u rily enjoy ur tym (i.e. friday jioni nkitoka kazini na saturday)...afta that sitaki kujuana!
It's like they never think of the future..kwao ts jus spending lyk there's never tomorrow!
Afu wen u think wanawake wa mjini ndo wanashupalia equal rights..looh! unaeza shangaa..
jus because u r the man..utalia nakwambia! they want u 2 pay 4 everything..
hata sh. 500 ya gazeti la udaku alilonunua na muuza magazeti hana change ya 10,000 uliyotoa kulipia...damn! na anayo mfukoni..
SINA HAMU NANYI MABINTI WA MJINI![/QUOTE]
damn....nimecheka kwa nguvu zote, khaa kumbe wakaka mna tabu kiac hiki....hahahaha, mie nadhani inategemeana na choice zenu, wengi wenu mnawapenda hao mabinti wa mjini waliozoea hizo starehe mnazozisema, mdada anaejua kila konaya jiji, kila kona ya starehe mkikutana nawale wakawaida hamridhiki coz mnawaona kama washamba fulani hivi, jaribuni kuchagua kwa umakini wapo wadada kibao watulivu/wanajitambua.
Nyamayao i hope Mentor na wengineo watakusikia....
habari yangu nzuri mpenzi. Hapo nimekusoma. Labda nikuulize kuna ubaya wa kundi la 14-18 kuwa na urafiki na kundi la 33-38?Off topic: ulivyopotea kumbe ulikuwa unaedit jina! Tunafurahi jina limebadilika ila busara na uchangamfu upo pale pale.Husny habari yako bana... nimefurahi unakubaliana nami na hivyo naamini kabisa hujawahi....lolHizi range dear nimetoa tokana na observation, ndio kuna under 14 wanahusishwa but sitaki hata ku acknowledge... Inaniuma mana nina binti....19 - 25 hii kwangu huona kama a learning period of trial and error and eventually you grow up!26 - 32... observe hata hapa mjini, this group ni marafiki, waweza kua 30 una rafiki 27 or 32 justbecause mko katika the same situation... hivyo nilijusitfy kwa hilo....34 - 38 mmmmh hapa ni matatizo, hata hapa hapa MMU dada akija na stress mchumba akitaja age, hii ndo mitaa yake ...Habari yako Husny
Halafu wale wadada pale sebuleni kwao maana daily hawakosekani palepale hapafai kabisa parking ni shida sana na hakuna mdudu
nasikia uvivu mtume mtu.Pitia uchukue pesa ya tuition na ya mtihani
hahahahahaha! We sio babu wewe? Mmh!Wwewe mbona kila siku nakwambia uniache mimi bado mdogo unasema ati utanikuza taratibu
Uliwaona eeee duh nikasema hii ni nini sasa na mie napenda kukaa counter sio kwenye kochiHalafu wale wadada pale sebuleni kwao maana daily hawakosekani pale
nasikia uvivu mtume mtu.
Nyie ndo waharibifu kabisaaaa!!!
mmh!Asha unataka kutuambia kuwa,
hao wadada btn 34-38 ndo wakiangaliaga posts,
zile za kutafuta wachumba hapa MMU,
Huwa wako makini sana eeeh, yaani utulivu katika
kuzisoma hizo posts unakuwa 100%....lol.....
vibabu si huwa vinatupigia hadithi za sungura na fisi.Kila kiumbe kina nafasi ya kuburudisha nafsi na kupata kitu roho inapenda.Alafu hawa watoto under 18 wanapenda sana vibabu
Haha..hata mi cjui, naona deleted tu...Hivi we Mentor post yako ya mwisho inanitaka nini maana kila nikireply inalete mizengwe.Nwy ngoja niweke hapa .....
Hahhahah....Mentor hapa umemaliza kila kitu.Mara nyingi tatizo linakua uelewa wa maisha na hali halisi aliyo nayo mtu.Wadada wengi japo wanaweza kua sio wengi sana kazi ni kutaka kila fulani alichonacho.Hata vigezo vya mpenzi vinaigilizwa siku hizi...fulani akiwa na mzungu nae anamtaka mzungu....jamaa wa fulani sijui anaendesha mchuma gani mkali na yeye akija mwenye Corola hamtaki.Yani watu hawapendi kupenda bali wanapenda kutimiza mahitaji yao yawe ni kuonekana nae kakamata au kupangishia self bada ya ushahilini ili mradi tu nae aseme mwanaume wangu ana hiki na kile.
Bana jamaa alishika masikio nilikua sifurukuti..... staki kumbuka...
habari yangu nzuri mpenzi. Hapo nimekusoma. Labda nikuulize kuna ubaya wa kundi la 14-18 kuwa na urafiki na kundi la 33-38?Off topic: ulivyopotea kumbe ulikuwa unaedit jina! Tunafurahi jina limebadilika ila busara na uchangamfu upo pale pale.
vibabu si huwa vinatupigia hadithi za sungura na fisi.
ADI,
Nimekumbuka hii kitu nilisoma mahali,
1. A woman in her 20s is like Africa...Unexplored....yet to be discovered
2. A woman in her 30s is like India, China and Taiwan.......Technically exploding
3. A woman in her 40s is like American...Technically advanced and experienced
4. A woman in her 50s is like Siberia.....Everyone know where it is but no one wants to go there (you know why.....Barafu!!!)
Naamini nimeweka bayana kwa nini Mzee DC angekuwa bado na meno angekufa na >39!!!