Understand that speacial lady you have fallen for....

Understand that speacial lady you have fallen for....

Nicely put and from experience inanilazimisha kusema that is mostly experienced na wadada btn 19-25! sijui wengine lakini kwa hapo, Ashadiii amepatia..

Hawa wadada kwa mizinga dah noma, ukimtoa out anakuja na wapambe 3-4 hajui mzee mfukoni umejipangaje.
Alafu anaweza kwambia kuwa amekuja na taxi kumbe mkebe kachukulia karibu tu huko katoka na daladala
Yaani mabinti wa age hiyo wamekaa kichunaji nawaogopa kama ukoma
 
Alafu nasikia kuna hadithi huwa vinawapa "......eti naingiza kichwa tu..." nani alikudanganya ina mabega ile?
hahahahaha! Fidel umepinda wewe! Siku akiniambia hvyo akiingiza kichwa nampiga makonzi.
 
Ashadii pia ule umri wa desperate for marriage mabinti huwa tunakuwa na hasira sana

Gaga KWELI KABISAAA..... lol

Hahahahaha duhh ndo maana mm huwa nasema sijawahi penda na sitaki
kupenda nitabakia kutamani tu Najua maumivu mnayo pata watu mnaopenda maana dah mpaka nawaonea huruma.
Mtu unazila kula wiki na unasononeka kwa ajili ya penzi lol

I really hope you are below 25, kama ni zaidi ya 25 hujawahi penda you are in for a long terrible haul....
uombe atakae kushika masikio awe na huruma.... kweli unalo dear..
 
Husny umenipa bonge la tabasamu, hiko kundi hapana labda hata 17 mana wengine wengi tulianza mitaa hiyo hiyo mpaka kubambikwa...Naomba nisiongelee saana, ila kweli kaka wa hio age kutongoza bintiwa namna hii personally naona si haki...
nilimaanisha urafiki wa kawaida mpenzi sio wa kibaba baba na kimama mama.
 
nilimaanisha urafiki wa kawaida mpenzi sio wa kibaba baba na kimama mama.

ha ha ha... Husny sorry mwaya...

Naona si mbaya but usiwe close, sometimes it is good living your age...
 
hahahahahaha! We sio babu wewe? Mmh!
Ahaaaa!!! Mbona unanikuza haraka una mpango gani na mimi lol!!!
HATIMAYE... mimi shangaa sana nini nimeharibu... i think redirecting the direction ya Alias imemkwaza PA...lol
Enways faili ije bana... want me to kno me....
Nimempa The Boss analileta sijui atalifikisha bila kulisoma huko njiani
Uliwaona eeee duh nikasema hii ni nini sasa na mie napenda kukaa counter sio kwenye kochi
Kwenye kochi wanapenda kukaa wale wanaopenda kuja na vi-date vyao lolz
 
I really hope you are below 25, kama ni zaidi ya 25 hujawahi penda you are in for a long terrible haul....
uombe atakae kushika masikio awe na huruma.... kweli unalo dear..

ahaaaaaaa Ashadii nitake radhi mi nakimbiza 42yrs sasa hivi
 
Ahaaaa!!! Mbona unanikuza haraka una mpango gani na mimi lol!!!

Nimempa The Boss analileta sijui atalifikisha bila kulisoma huko njiani

Kwenye kochi wanapenda kukaa wale wanaopenda kuja na vi-date vyao lolz
Ina onekana member pale mazingira unayajua sana, lol next time nikiingia nitaku beep
 
ha ha ha... Husny sorry mwaya...Naona si mbaya but usiwe close, sometimes it is good living your age...
kweli bora niwakimbie. Si unamuona fide hapo anaanza kunidanganya kwa chps kuku.
 
hahahahaha! Fidel umepinda wewe! Siku akiniambia hvyo akiingiza kichwa nampiga makonzi.

Hahahahahaha ao ndo mababu wa siku hizi anaanza kukutania mchumba leo umevaa chupi rangi gani ngoja nikague ndo hapo hapo anaingiza kichwa
 
Nimempa The Boss analileta sijui atalifikisha bila kulisoma huko njiani

Yaaaaani umempa The Boss... una nia njema na mimi???
jamaa ana nyumba ndogo 3 na zoote alivunja ndoa za watu
na ana intimate politics hazifai kabisa... dah!
Itabidi nitume messanger....lol...
 
mapenzi hayana formulae-it is and will always be TRIAL AND ERROR-if it works out fine-if no back to the drawing board
 
ahaaaaaaa Ashadii nitake radhi mi nakimbiza 42yrs sasa hivi

Nimekuvunjia heshima kabisaaaa!!! Ashadii huyo hapo chini....lol

:hail::hail::hail::hail::hail:
 
Ina onekana member pale mazingira unayajua sana, lol next time nikiingia nitaku beep
Ahaaa ahaaa Jumamosi nimekaa pale washikaji wakawa wananipiga madongo wanaenda kwa Masekela kumbe shoo yenyewe ya kitapeli wamerudi pale vichwa chini nikawa nawatania vipi hela zenu mnarudishiwa lini baada ya kutapeliwa wakawa na hasira kweli lolzz
 
mapenzi hayana formulae-it is and will always be TRIAL AND ERROR-if it works out fine-if no back to the drawing board

Son of A i would hate to believe you have not learned from your past love
relationships thus making you stronger and wiser in relationship related issues...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom