Understand that speacial lady you have fallen for....

Hahahaha...Asha D...kama amepitia hii thread mayb!
Ila nawapenda kwenye having fun..ukiwa nao u rily enjoy ur tym (i.e. friday jioni nkitoka kazini na saturday)...afta that sitaki kujuana!
It's like they never think of the future..kwao ts jus spending lyk there's never tomorrow!
Afu wen u think wanawake wa mjini ndo wanashupalia equal rights..looh! unaeza shangaa..
jus because u r the man..utalia nakwambia! they want u 2 pay 4 everything..
hata sh. 500 ya gazeti la udaku alilonunua na muuza magazeti hana change ya 10,000 uliyotoa kulipia...damn! na anayo mfukoni..
SINA HAMU NANYI MABINTI WA MJINI![
/QUOTE]

damn....nimecheka kwa nguvu zote, khaa kumbe wakaka mna tabu kiac hiki....hahahaha, mie nadhani inategemeana na choice zenu, wengi wenu mnawapenda hao mabinti wa mjini waliozoea hizo starehe mnazozisema, mdada anaejua kila konaya jiji, kila kona ya starehe mkikutana nawale wakawaida hamridhiki coz mnawaona kama washamba fulani hivi, jaribuni kuchagua kwa umakini wapo wadada kibao watulivu/wanajitambua.


Nyamayao i hope Mentor na wengineo watakusikia....
 
Husny habari yako bana... nimefurahi unakubaliana nami na hivyo naamini kabisa hujawahi....lolHizi range dear nimetoa tokana na observation, ndio kuna under 14 wanahusishwa but sitaki hata ku acknowledge... Inaniuma mana nina binti....19 - 25 hii kwangu huona kama a learning period of trial and error and eventually you grow up!26 - 32... observe hata hapa mjini, this group ni marafiki, waweza kua 30 una rafiki 27 or 32 justbecause mko katika the same situation... hivyo nilijusitfy kwa hilo....34 - 38 mmmmh hapa ni matatizo, hata hapa hapa MMU dada akija na stress mchumba akitaja age, hii ndo mitaa yake ...Habari yako Husny
habari yangu nzuri mpenzi. Hapo nimekusoma. Labda nikuulize kuna ubaya wa kundi la 14-18 kuwa na urafiki na kundi la 33-38?Off topic: ulivyopotea kumbe ulikuwa unaedit jina! Tunafurahi jina limebadilika ila busara na uchangamfu upo pale pale.
 
Hahaha!!! Yamekwisha ngoja nikuletee faili lako


HATIMAYE... mimi shangaa sana nini nimeharibu... i think redirecting the direction ya Alias imemkwaza PA...lol
Enways faili ije bana... want me to kno me....
 
ADI,

Nimekumbuka hii kitu nilisoma mahali,

1. A woman in her 20s is like Africa...Unexplored....yet to be discovered
2. A woman in her 30s is like India, China and Taiwan.......Technically exploding
3. A woman in her 40s is like American...Technically advanced and experienced
4. A woman in her 50s is like Siberia.....Everyone know where it is but no one wants to go there (you know why.....Barafu!!!)

Naamini nimeweka bayana kwa nini Mzee DC angekuwa bado na meno angekufa na >39!!!
 
Ashadii pia ule umri wa desperate for marriage mabinti huwa tunakuwa na hasira sana
 
mmh!Asha unataka kutuambia kuwa,
hao wadada btn 34-38 ndo wakiangaliaga posts,
zile za kutafuta wachumba hapa MMU,
Huwa wako makini sana eeeh, yaani utulivu katika
kuzisoma hizo posts unakuwa 100%....lol.....

Bacha si woote bana.... mawazo yangu sio absolute... ha ha ha..
 
Hivi we Mentor post yako ya mwisho inanitaka nini maana kila nikireply inalete mizengwe.Nwy ngoja niweke hapa .....



Hahhahah....Mentor hapa umemaliza kila kitu.Mara nyingi tatizo linakua uelewa wa maisha na hali halisi aliyo nayo mtu.Wadada wengi japo wanaweza kua sio wengi sana kazi ni kutaka kila fulani alichonacho.Hata vigezo vya mpenzi vinaigilizwa siku hizi...fulani akiwa na mzungu nae anamtaka mzungu....jamaa wa fulani sijui anaendesha mchuma gani mkali na yeye akija mwenye Corola hamtaki.Yani watu hawapendi kupenda bali wanapenda kutimiza mahitaji yao yawe ni kuonekana nae kakamata au kupangishia self bada ya ushahilini ili mradi tu nae aseme mwanaume wangu ana hiki na kile.
Haha..hata mi cjui, naona deleted tu...
Nicely put and from experience inanilazimisha kusema that is mostly experienced na wadada btn 19-25! sijui wengine lakini kwa hapo, Ashadiii amepatia..
 
Bana jamaa alishika masikio nilikua sifurukuti..... staki kumbuka...

Hahahahaha duhh ndo maana mm huwa nasema sijawahi penda na sitaki kupenda nitabakia kutamani tu
Najua maumivu mnayo pata watu mnaopenda maana dah mpaka nawaonea huruma.
Mtu unazila kula wiki na unasononeka kwa ajili ya penzi lol
 
habari yangu nzuri mpenzi. Hapo nimekusoma. Labda nikuulize kuna ubaya wa kundi la 14-18 kuwa na urafiki na kundi la 33-38?Off topic: ulivyopotea kumbe ulikuwa unaedit jina! Tunafurahi jina limebadilika ila busara na uchangamfu upo pale pale.


Husny umenipa bonge la tabasamu, hiko kundi hapana labda hata 17
mana wengine wengi tulianza mitaa hiyo hiyo mpaka kubambikwa...
Naomba nisiongelee saana, ila kweli kaka wa hio age kutongoza binti
wa namna hii personally naona si haki...
 
ADI,

Nimekumbuka hii kitu nilisoma mahali,

1. A woman in her 20s is like Africa...Unexplored....yet to be discovered
2. A woman in her 30s is like India, China and Taiwan.......Technically exploding
3. A woman in her 40s is like American...Technically advanced and experienced
4. A woman in her 50s is like Siberia.....Everyone know where it is but no one wants to go there (you know why.....Barafu!!!)

Naamini nimeweka bayana kwa nini Mzee DC angekuwa bado na meno angekufa na >39!!!


Mzee DC ninayo katika fili langu....lol.. hii hapa link

https://www.jamiiforums.com/jokes-utani-udaku-gossips/128474-geography-of-women.html
 
Back
Top Bottom