Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,648
Hahahha...mzee DC umenifurahisha kweli....kwahiyo kumbe wewe usichotaka ni usumbufu?!?!Ohhh alafu ni kwa Sadala...
Asante sana. Hakuna mtu anapenda kuzungushwa ndo maana watu wanatoa rushwa.
Hahahha...mzee DC umenifurahisha kweli....kwahiyo kumbe wewe usichotaka ni usumbufu?!?!Ohhh alafu ni kwa Sadala...
So it seems you know
kua RR ni ya ancl, saa nilipewa na Ex,
Possibility ya uzuri wa ndani waweza kua mbovu ukilinganisha na nje
half of my closet nilinunua niloenda matanuzi na sugar dadies (boy friend wawasingizia...)
Na ofcourse BB nilipata baada ya kukutana na Executive Manager wa Vodacom
Na najifanya Macs ni zangu na ni dhahiri sio...
Ukajua kabisa ni full dependent, ni full kugawa my :A S 465: kwa ajili ya mambo mazuri ya anasa,
Ni full kujishebedua... But still umenifuata na kunitokea kwa lengo ya tasting the fruit...
Unalalama nini kuninunulia gazeti la udaku na kunitoa mara kwa mara hata pale
nyumbani lounge for a white nite party????
Halafu juzi hukutokea
33 – 38 years
Bado yupo desirable, yupo more wise, a bit quiet.. bahati mbaya in most cases very depressed hasa kuhusiana na issue ya kupata mume.. she so needs to get married to the extent anaweza angukia pabaya ili mradi tu apate huyo mume.. katika stage hii mahusiano hayaangalii mapenzi wala sex.. it is more about the image kua lazima nae aolewe (image ambayo inakua forced tokana na jamii ilomzunguka) in this age hutambua kua rafiki zake woote wameolewa na wamesha pata first, second or third borne.. Hili group hupenda serious relationships with serious men wa kuwaoa but bahati mbaya saana wanaofaa kumuoa most wanafamilia ama stable girlfriends/fiancee… hio hupelekea wengi kukata tamaa na kuzaa tu na jamaa ambae kwake anaona ana qualify.. hapa usishangae hata ambae hakujui kwa bibi/babu anashawishika kwenda hasa anapopata mume wa mtu ambae very potential husband material… Stage hii mwanaume akimuangalia anahisi kafananishwa…
Wengi humu tupo hapa hapo chacha

Wapi TF kwenye thread au?Halafu juzi hukutokea
Hahahahaha huyu ashadii atakuwa mnajimu eeeeeMie nipo 26-32 kuna vijitu kavieleza vina ukweli na mimi.
Ahaaa ahaa ushaanza uhuni sasa ukija pale Barks utakuta bili yakoWapi TF kwenye thread au?
Hebu vitaje hivyo vyenye ukweli na wewe lol!!!Mie nipo 26-32 kuna vijitu kavieleza vina ukweli na mimi.
Kinilalamishacho ni the fact kwamba una-assume mimi ni mtoto wa bill gates wakati tumesoma wote msingi ukanijua na wazazi ukawafahamu ukajua hali yetu kiuchumi.
Chuo japo nilikutangulia kwenda ulikuja na ukaona maisha yalivyo ya dhiki. ningependa na mimi wakati namaliza chuo na pesa ya akiba benki walau ya kuanzia maisha. Ila si unajua sote tulikuwa tukitegema kopo dada? Wazazi hawakuwa na uwezo wa kunioongezea walau iinue hali ya maisha?
Leo hii nimekuona nimeonesha interest kwako unani-treat kama mgodi wa Tanzanite? Leo hii nimekwmbia, "Babe, leo sina pesa walau twende pale uwakiki pub tupate tu za kupotezea muda"..ukachukua 'ur' pink BB na kumpigia RR aje kukuchukua na Hammer yake.
Jana, nimekununulia kiatu (japo sio cha dukani) unalalamika mbona Bujibuji anamnunulia wa kwake vya Dubai?
Juzi, during ur birthday (hata hushukuru nimekumbuka darlng!) nimekununulia gauni zuri tena la wool worth..unajua sikula siku ngapi ili niweze kusave hiyo pesa?
Ndo nimeanza maisha mpendwa wangu, hayo yote utayapata kama ukivumilia tu...
kwani si nawewe umesoma..?
Miezi mingapi sasa umenichuna leo hii huwezi niambia, "Babe, i saw this as I was passing by nikaipenda nikaona nkununulie."
sanasana, ulichofanya last week ni kuniletea shati eti nikupe 25k kisa ulimsikia Lizzy akisema anamnunuliaga NyaniNgabu alafu anaenda kumlipa! Unajua makubaliano yao?? (kwanza hilo shati lenyewe ningelinunua mwenyewe pale kariakoo ningelichukua for <15k)
.....eeeeh??
33 – 38 years
Bado yupo desirable, yupo more wise, a bit quiet.. bahati mbaya in most cases very depressed hasa kuhusiana na issue ya kupata mume.. she so needs to get married to the extent anaweza angukia pabaya ili mradi tu apate huyo mume.. katika stage hii mahusiano hayaangalii mapenzi wala sex.. it is more about the image kua lazima nae aolewe (image ambayo inakua forced tokana na jamii ilomzunguka) in this age hutambua kua rafiki zake woote wameolewa na wamesha pata first, second or third borne.. Hili group hupenda serious relationships with serious men wa kuwaoa but bahati mbaya saana wanaofaa kumuoa most wanafamilia ama stable girlfriends/fiancee… hio hupelekea wengi kukata tamaa na kuzaa tu na jamaa ambae kwake anaona ana qualify.. hapa usishangae hata ambae hakujui kwa bibi/babu anashawishika kwenda hasa anapopata mume wa mtu ambae very potential husband material… Stage hii mwanaume akimuangalia anahisi kafananishwa…
Wengi humu tupo hapa hapo chacha
Nilikuja jmosi kuna wadada walikuwa na fujo sana nikaondokaAhaaa ahaa ushaanza uhuni sasa ukija pale Barks utakuta bili yako
Bora umesema kweli mwaya.... Asha D likes.... ongeza kidogo Chauro...