Understand that speacial lady you have fallen for....

Sisi wa 14-18 watuache kabisaaaaaa!
Labda nikuchallenge kitu kimoja ashadii kuhusu vigezo ulivyotumia katika hiyo range ya umri.
14-18 kuna tofauti ya 4yrs wakati 19-25 ni 6yrs, 26-32 nayo ni 6yrs na 33-38 ni 5yrs.
Nimeipenda ina ukweli kabisa.
 
Atiiiiii umesemaje sijakusikia vizuri
 
Sisi wa 14-18 watuache kabisaaaaaa!
Labda nikuchallenge kitu kimoja ashadii kuhusu vigezo ulivyotumia katika hiyo range ya umri.
14-18 kuna tofauti ya 4yrs wakati 19-25 ni 6yrs, 26-32 nayo ni 6yrs na 33-38 ni 5yrs.
Nimeipenda ina ukweli kabisa.

Nyie ndo wazuri mnajua kubana bajeti hapo najua natenga bajeti ya chipsi kuku, pedi, soda na nauli tu
 
Hii age wanapenda sana kuchuna ukichunguza wa age hii walio wengi wanatembea na watu wazima kama baba zao na wanapenda vibabu kwa vile si vibahili akikohoa tu anaambiwa akatibiwe Hindu Mandal. Hawa wanawaza kuendesha Opa, kupanga nyumba nzima, full usumbufu
 
Sisi wa 14-18 watuache kabisaaaaaa!
Labda nikuchallenge kitu kimoja ashadii kuhusu vigezo ulivyotumia katika hiyo range ya umri.
14-18 kuna tofauti ya 4yrs wakati 19-25 ni 6yrs, 26-32 nayo ni 6yrs na 33-38 ni 5yrs.
Nimeipenda ina ukweli kabisa.

Husny habari yako bana... nimefurahi unakubaliana nami na hivyo naamini kabisa hujawahi....lol
Hizi range dear nimetoa tokana na observation, ndio kuna under 14 wanahusishwa but sitaki
hata ku acknowledge... Inaniuma mana nina binti....

19 - 25 hii kwangu huona kama a learning period of trial and error and eventually you grow up!
26 - 32... observe hata hapa mjini, this group ni marafiki, waweza kua 30 una rafiki 27 or 32 just
because mko katika the same situation... hivyo nilijusitfy kwa hilo....
34 - 38 mmmmh hapa ni matatizo, hata hapa hapa MMU dada akija na stress
mchumba akitaja age, hii ndo mitaa yake ...

Habari yako Husny
 
mmh!Asha unataka kutuambia kuwa,
hao wadada btn 34-38 ndo wakiangaliaga posts,
zile za kutafuta wachumba hapa MMU,
Huwa wako makini sana eeeh, yaani utulivu katika kuzisoma hizo posts unakuwa 100%....lol.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…