Well thank you Dearest... But we will have to make a truce... you can call me
your woman but i can not call you my man.... hapo ndio tatizo... and you know why...
Bora hata usingeniambia
Wivu wangu mbaya sana
Daaaah
Hata hivyo sikuachii, hata kama ni vita nitapigana tu
thread nyingi za kipindi cha nyuma zilikua meaningful sana...kuliko saiv
thread nyingi za kipindi cha nyuma zilikua meaningful sana...kuliko saiv
Saiv JF imeingilia na product ya Mulugo... Vivulana vya primary ndo vimejaa haoa ninataka kufundisha jinsi ya kutongoza!!!!