Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,827
- 1,314
ana uwezo mdogo wa kutafuta mwenyewe zaidi ya kuvizia vilivyotafutwa na wanyama wenzake!!
tofauti na wanyama wengine kama Twiga(air Tanzania) simba (sports Club),Tembo (cement),Mbuni(sabuni ya mche),sungura(printers),Chui(dawa ya Mbu coil),Nyati(Buffalo-hoteli) pamoja na wanyama wengine. Yeye Fisi hana brand name
ana uwezo mdogo wa kutafuta mwenyewe zaidi ya kuvizia vilivyotafutwa na wanyama wenzake!!
Namwona kama mrembo mrembo hivi yaani hatishi kama wanyama wengine.
Fisi ni Calculating NA very INTELLIGENT kinyume na fikra za wengi!
Na pia yuko displined kwa kuwa kwake alway JIKe ndio mwenye heshima!
Hakati tamaa haraka
Hapo tunaweza kujifunza kitu toka kwake,lakini bado viko vingi sana ambavyo sisi kama binadamu tunaweza kujifunza kutokana na mfumo wa maisha ya mnyama huyu.
Pia sometimes anahusishwa na imani za kishirikina, nilisoma kwenye gazeti mtu alilala na ndugu yake usiku akamwona amegeuka fisi...mh!
Huwa anacheka cheka
Hivi hamjui kuwa Fisi, Tai na jamii zake ndio mabwana na mabibi afya wa porini? Ile mizoga ingekuwa hailiwi kule polini si kungekuwa na magonjwa ya miripuko i.e Kipindupindu na nduguze.
Unajua mkuu inawezekana ni kweli uyasemayo, kuhusu R & L... mkuu nitajitahidi, maana namimi kwa kubofya kiibodi huwa nina kasi ya 50 wps, na mara nyingi huwa siangalii na kusahihisha pare I mean pale ninapo kosea.Ustaadhi kumbe na wewe unashida ya R na L
Ni Porini na si Polini na ni Milipuko na si Miripuko. Zingatia hayo marekebisho. Ni kweli hawa jamaa wanasaidia kama mabwana afya mwituni.
Waulize warangi.
Huwa anatumika kwa usafiri kwa warangi ambao ni wataalam kwenye "african high technology". Nasikia msafiri huwa anapanda mgongoni halafu anakuwa ameangalia opposite direction huku ameshikilia mkia. Na ule mkia unagusishwa kwenye ti.. kwa ajili ya ku-accelerate. Lol!
Una kesi ya kujibu huku kwa kunivunja mbavu na kicheko.....