Under the same Sun Vipi?

LJunior

Member
Nov 23, 2011
6
0
Hello!wana jf habari?Hii jumuia ya kuhudumia watu wenye ulemavu wa ngozi walitangaza nafasi za kazi nami ni mmoja wa walioomba nafasi hizo ambazo deadline ilikuwa tar 10 january,sasa naona kimya hadi leo,kuna mwenye info zaidi?naomba anijuze kwa niaba ya wote walioomba hapo.naomba kuwasilisha hoja jamvini,hoping to hear from you guys
 
mie nili-apply pia. ila process yao ya kuita watu kwenye interview ndio ilinishangaza; maana nilitumiwa text message saa tano usiku siku ya jmosi kuwa jtatu niende kwenye interview!!!!! nilichoka! nilipojaribu kuipiga hiyo namba angalau ni re-schedule interview date, looohhh jamaa alikuwa mkali huyo, alisema "umeishaambiwa uje, kwahiyo uje!!!" akakata simu! NILIWATOSA!
 
Mi waliniita kwenye interview ila sisemi ni post gani. Nilichokutana nacho pale ni maswali ya watu wenye ulemavu wa ngozi na sio maswali yanayoendana na taaluma yangu. Na inaonekana full kujuana na inteview yenyewe ni ya kisanii tupu. Ninachotaka kusema Vicky Mtetema analiharibu shirika la Under the same sun kutokana na umimi anaouendeleza pale. Ndugu kama hukuitwa tulia tu ujue ndio umeshamwagwa. Upuuzi mtupu.
 
Back
Top Bottom